Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

Huko MSD aliweza kwa sababu taratibu za kitaasisi zinaheshimika; MSD hatapaweza kwa sababu ya siasa

Mambo ya kijinga mara uambiwe toa hela kugharamia mbio za mwenge mara toa hela ugharamie kikao cha ccm, ujinga mtupu
 
Akitaka kufanikiwa wale wakurugenzi wote wa idara aombe kibali wapangiwe Kazi nyingne... Otherwise Bado atanyoshwa tu Kama mwenzake na watu wanaojiita wazoefu wa kaz
KWELI KABISA BAADHI YA WAKURUGENZI NA MAMENEJA vitengo na baadhi ya Kanda HAWANA TIJA, mkuu wa.ukaguzi wa ndani biah aondolewe,mwanasheria anayekosa ushauri kwa taasisi na kufanya Mambo ya ovyo pia ni mnufaika na mikataba mibovu na safari nje ya nchi za hovyo hovyo kabisa, hr tafuta mwingine na meneja wake, baadhi ya MAMENEJA wa Kanda useless kabisa hawana ubunifu Wala uwezo wa kuongoza yaani dmo au RMO unatafuta majibu au utatuzi wa Jambo yaani hawana akili ya majadiliano, no IQ kabisa, anakujibu ngoja nikaulize very childish. Tofauti Sana na MAMENEJA wale walikuwepo Kama kina Comrade HAULE, TERRY, DAUDI MSASI, SIPE DI, SUNGUSIA etc, Sasa mlinao wengi wapowapo. ikiwezekana chukua baadhi toka wadau wa afya wataalamu wa supply chain ambao walifanya kazi bega kwa bega na msd.
 
Naunga mkono hoja,Afande alikuwa hajui uzito wa nafasi ya Meneja wa kanda,baada ya wimbi la kuhamishia nje ya MSD staff waliokuwa potential na asset kwa MSD(baadhi yao umewataja),Afande hakuzingatia uzito wa position ya Zonal Manager na wala hakuwa na sucession plan,hivyo watu wakachukua hizo nafasi kienyeji bila kuzingatia uwezo,na matokeo yake ndio hao managers wasio na uwezo wa kibiashara etc.ili ni eneo lingine inabidi lifanyiwe overhaul
 
Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita.
TAARIFA YA CAG INAPOTOSHWA
“Kuna upotoshwaji kwenye taarifa ya CAG, nadhani Zito Kabwe angelisaidia sana taifa hili kama angekuwa mkweli, mimi na Zitto tulishiriki kutengeneza sheria ya ukaguzi wa fedha 2009, hata maneno yaliyopo kwenye sheria hiyo yametoka kwetu.
“Moja ya maelezo ya ile sheria inasema baada ya CAG kukabidhi ripoti yake kwa Rais kisha kuifikisha Bungeni siku saba baadaye, ripoti hiyo haitakiwi kuwa public discussion, kwa kuwa ni kama mhtasari tu wa ripoti.
“Inatakiwa Kamati ya Bunge ndiyo iifanyie kazi, mfano kuna sehemu unaweza kukuta risiti haikuonekana wakati wa ukaguzi lakini hiyo ikapitishwa na kuonekana ni wizi, tumepotosha maana ya ile taarifa ya CAG.
CAG AMESABABISHA TAHARUKI KWA RIPOTI YAKE
“Kwanza hata CAG mwenyewe amechangia kuleta hii taaruki kwa kuwa huwa ni ya awali tu na analijua hilo, inatakiwa irudi kwa akaunti ofisa wa Serikali ijadiliwe, pia CAG wakati anatoa taarifa zake hadharani hatakiwi kuingia ndani kutoa ufafanuzi zaidi kama anavyofanya.
“Unaweza kukuta ripoti hiyo ikifika kwenye Kamati ya Bunge vitu vingi vikawekwa sawa, mfano labda kulikuwa na upotevu fulani wa mambo madogomadogo ambayo kwa nje yanaonekana kama ni wizi lakini details zikiwekwa sawa kunakuwa hakuna tatizo.
 
Yule mwanajeshi nimeamini alikuwa kilaza na staili zake za kuongoza. Nimebaini aliwaondoa msd wataalamu mahili katika kazi baada ya kumshauri kufuata utaratibu wa manunuzi, kumshauri kitaalamu juu ya vifaa vya kununua, akakasirika na kutuma majina yao utumishi kuwaondoa, madhara yake makubwa mno kiasi hata huyu alichukua atakosa direction. Utumishi sitisheni maekezo wa yule afande failure kabisa, acheni aliyopo ndio aendelee na wanaomfaa. Hatari hatari
 
Niice
 
Hello,please leta Mrejesho wa u-kichwa na Output ya Mavere hapo MSD mpaka sasa.Kwa machache niliyoyasikia,mwambie aache papara atulie kwanza make hayo manunuzi ya MSD siyo mchezo,yameanza kumuharibia CV baada ya kubwagwa huko PAA(Public Procurement Appeals Authority) na kutokana na interference yake kwa MSD Tender Board
 
Hr yao ni vichwa uji kabisa, Kuna wabibi wawili Mkurugenzi hr na meneja ake wapo Kama wanausingizi, mfano hawajui in house talents za watu wao and how to utilize. wamebaki kusikiliza na kupokea maelekezo toka kwa maafisa wenzao toka ofisi ya rais, yani bule kabisa
 
Hongera Mavere,Naona mmoja walishakula kichwa
 
Hongera Mavere na walioleta JF,Maoni mengi kati ya haya yalishafanyiwa kazi
 
Akitaka kufanikiwa wale wakurugenzi wote wa idara aombe kibali wapangiwe Kazi nyingne... Otherwise Bado atanyoshwa tu Kama mwenzake na watu wanaojiita wazoefu wa kaz
Hongera JF,hili limeshafanyika la kuondoa wakurugenzi na Nafasi zikatangazwa kupitia PSRS,lakini kuna dalili mbaya ya ucheleweshaji wa michakato ya usaili toka July hadi leo kimya,sisi wafanyakazi tunahitaji kuona menejimenti mpya iliyokuja kwa MERIT na siyo ubabaishaji wa kuteuana tu.DG Mr. Mavere nakushauri jitahidi kufanya juu chini ku-fasttrack mchakato wa interview,vinginevyo utachafuka kuna tetesi kuwa unataka kupindua meza ili kuleta washikaji zako bila kufuata mchakato sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…