Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kuna ligi unataka uianzishe afu huna ushahidiNachukizwa sana na watu wanaoupamba udini.
Msichokijua ni kuwa Zuhura Yunus ni Mkristo.
Mayalla maana yake "njaa"Duh! Usipime!
Kazi imepata mtu stahiki.
Hongera Zuhura Yunus!
P
Yah, ni kweli watu wameshindwa kukuelewa kwamba post ulimlenga Pascal Mayalla ambae wakati wa JPM ambae ni Mkristo alimpa uteuzi Pasco kwa sababu wote ni Wakristo lakini alipoingia Samia, Pasco akatemeshwa mzigo kwa sababu asingeweza kufanya kazi na Mkristo! UHii nili mquote ndugu yangu kabisa Pascal Mayalla
Duh! Usipime!
Kazi imepata mtu stahiki.
Hongera Zuhura Yunus!
P
Hata mie nakumbka hivyo pia.Zuhura Yunus ni Mzanzibar halisi kabisa, baba yake alikuwa mwanajeshi kutokea unguja.
Kwa wanaosema Zuhura ni mbara, wakatafute interview yake na Salama kwanzia dk ya 25 utamsikia mwenyewe akizungumzia kwao Unguja
Unaweza kukuta ni mtu na dada yake. Yani wanasiasa wa mboga mboga Wanshea shea tuu unaweza kuta mawaziri wote wa Tanganyika ni watoto wa baba mmoja mama mbali mbaliHapo kwa Zuhura naona copy ya sura ya Samia kwa mbali au macho yangu tu!
Nasikia anaenda kuwa mkurugenzi TbcMwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
sisi.ambao hatukujua Hilo siyo watu?Lakini kila mtu alijua ni wa muda huyo!
Nyie ni Makadhi Wakuusisi.ambao hatukujua Hilo siyo watu?
Kumbe na wewe ni takataka!Nachukizwa sana na watu wanaoupamba udini.
Msichokijua ni kuwa Zuhura Yunus ni Mkristo.
Wewe mbishi, sikiliza hiyo interview na SalamaZuhura mpare mzee, unajishushia heshima yako ndugu
Huyu mtu, wakati wa Mwendazake, alikuwa ANAJIONA ni zaidi ya WAZIRI MKUU!Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
We mzee mdini sana,cabinet ya magu ilikua na mawaziri watatu tu waislam na akukua na malalamiko,mjima sanaDah! Pole sana ndugu tatizo dini yako kikwazo.
U-DPC ni nafasi nzuri sana ya kutoka hata kimaisha ile nafasi watu wanaroga waipate 😜Huyu mtu, wakati wa Mwendazake, alikuwa ANAJIONA ni zaidi ya WAZIRI MKUU!