Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Hii nili mquote ndugu yangu kabisa Pascal Mayalla
Yah, ni kweli watu wameshindwa kukuelewa kwamba post ulimlenga Pascal Mayalla ambae wakati wa JPM ambae ni Mkristo alimpa uteuzi Pasco kwa sababu wote ni Wakristo lakini alipoingia Samia, Pasco akatemeshwa mzigo kwa sababu asingeweza kufanya kazi na Mkristo! U

Umeeleweka man, na ambae hajakuelewa atakuwa na matatizo tu ya uelewa!!
 
Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.

Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Nasikia anaenda kuwa mkurugenzi Tbc
 
Sasa bado CDF mwanamke, bado IGP mwanamke na bado JAJI MKUU mwanamke ili itifaki izingatiwe 100%
 
Huyu binti kupewa u- DPC ikulu ni kati ya matusi makubwa sana anayoendelea kutukanwa Hayati Magufuli, huyu na Kikeke ndio walikuwa wakiisema na kuichafua sana awamu ya Magufuli
 
Hongera sana kwake .....Mungu ndio kashampangia tayari,sie ni nani tubishe
 
Back
Top Bottom