Pep
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,338
- 5,488
Sio CDM, ni nyie watu wa Nyanda za juu kusini πIla CDM wana maneno nyieππππππ
Nimecheka kichizi
Huoni Erythrocyte ni alwatan wa pale Southern highlands?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio CDM, ni nyie watu wa Nyanda za juu kusini πIla CDM wana maneno nyieππππππ
Nimecheka kichizi
Wivu tu umekujaaawamu ya tano ulikuwa unaweza kwenda kkwenye mkutano sehemu fulani ukahutubia kilugha. ajabu sana. mfano, mtu unaenda Mwanza, ambako kumejaa makabila yote (kuna wachaga, wanyakyusa, wahehe, wapare, wamakonde etc) pamoja na kwamba majority wanaweza kuwa wasukuma lakini makabila mengine yapo, kiswahili kinajulikana kwa wote, haupo kijijini upo mjini, wewe ukaanza kuongea kisukuma.
mkuu wangu, hata angekuwa muislam.shida ipo wapi?
Na wazanzibarMwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Mbona awamu iliyopita hamkuzungumzia ukabila shezi taipuUdini lazima utaligawa Sana taifa Hadi awamu hii inamalizika .Kuna wakati tulisahau saiv naona mijadala ya udini inaibuka kwa Kasi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
wivu wa nini sasa? sasaivi tulieni ni zamu ye wengine kula, na katu hamtakuja kupata rais tena. trust me, watu wamejifunza. kumbe nyerere aliona mbali sana.Wivu tu umekujaa
Nawe ongea lugha Yako
Kwani kupangiwa kazi nyingine lazima uwe umefanya kosa/umeboronga?
Waislamu hawajasoma ,uiwe na shaka haiwezi kua mwaka waoMwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Akili ndogo uziaUdini lazima utaligawa Sana taifa Hadi awamu hii inamalizika .Kuna wakati tulisahau saiv naona mijadala ya udini inaibuka kwa Kasi.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hongera saNAAAAAA. Ni taarifa njema kwa ikulu na kwa Tanzania na watanzania wote. Nimekuwa siku zote nkimuona mtangazaji Zuhura kama makini, yuko profesional na mnyenyekevu. Kwa uchaguzi huu kazi iendelee na itaendelea kwa asilimia 100.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu akimrithi Jaffar Haniu. Mwezi uliopita Zuhura aliaga BBC na hakusema anapoelekea.
Haniu aliyerithi kijiti kutoka kwa Gerson Msigwa Juni mwaka jana atapangiwa kazi nyingine akihudumu kwenye ofisi hiyo kwa miezi saba.
Wanawake oyeee, mpaka maji yaitwe mma.. Tunasubiri matokeo kutoka Dodoma japo tunayajua
======
Zuhura Yunus ni mwanamke wa kwanza kutangaza kipindi cha Kiswahili cha televisheni BBC, Dira ya Dunia akihudumu kwenye shirika hilo kwa miaka 14. Zuhura alijiunga na BBC Swahili mwaka 2008 akiwa mtangazaji na mtayarishaji wa matangazo. Alijulikana kwa wasikilizaji wa BBC Swahili kuwa mtangazaji kinara wa matangazao ya redio, Dira ya Dunia, Zuhura ameripoti na kutangaza uchaguzi wa Tanzania mwaka 2010.
Kabla ya kujiunga na BBC, Zuhura alifanya kazi ya utangazaji katika vipindi mbalimbali vya redio ya Times FM na Uhuru FM nchini Tanzania. Mwaka 2002 Zuhura alishinda tuzo ya Habari ya Ishi nchini Tanzania kutokana na ripoti ya HIV/Aids. Pia amefanya kazi ya uandishi wa habari katika gazeti la The Citizen newspaper.
Mwaka jana Zuhura aliandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor, mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Zuhura katika utumishi wake amewahoji viongozi wa Afrika kama vile Rais wa zamani wa Tanzania, Jakaya Kikwete kama sehemu ya taarifa kuhusu biashara haramu ya wanyama pori pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Museveni. Mahojiano aliyoyafanya na mgombea urais wa upinzani, Edward Lowassa mwaka 2015 yalizua gumzo katika vyombo vya habari nchini.
Zuhura ni muhitimu wa shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Mbale IUIU, Uganda na ana shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Vyombo vya Habari kutoka Chuo Kikuu cha Leicester, Uingereza.
Wow touched a sensitive nerve.irresistibly points to that in our stupid systems of governance!
Unajidanganya, mazoea hayana Tiba.Sasa ngoja niandae washenga na mahali /brideworth niende Dodoma Chamwino nikalipie maana kwenda Uingereza ilikuwa Sina uwezo Bongo hii nafika kwa nauli ya ten tu toka Moro to Dom, karibuni wote
Mzee wa kujipendekeza vipi mti bado hauna maua tukupe mbinu za kuufanya utoe maua harakaDuh! Usipime!
Kazi imepata mtu stahiki.
Hongera Zuhura Yunus!
P
[emoji3][emoji3][emoji3]Pascal Mayalla anaendelea kupiga picha daraja la Tanzanite na kupost
Teh tehYupi yule mwenye avatar ya coca cola iliyoandikwa jina lake. Kilio chake sasa kimesikika
Zanzibar kule si kateuliwa kichogo mwenzenu Charles Hilary sasa ndio mfano wakeWazanzibari mwaka wenu huu mshindwe nyie tu. Hongera sana VENUS NYOTA
Hiyo nafasi ya Kaimu Mkurungenzi wa Mawasiliano aliteuliwa lini? Barua mbona iko wazi kuwa atapangiwa kazi nyingine? Anyways, all the best Ms. Zuhra!Anakaimu kwa leo, baada ya kuteuliwa mwingine
ππππSio CDM, ni nyie watu wa Nyanda za juu kusini π
Huoni Erythrocyte ni alwatan wa pale Southern highlands?