Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Wivu tu umekujaa

Nawe ongea lugha Yako
 
Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.

Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Na wazanzibar
 
Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.

Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Waislamu hawajasoma ,uiwe na shaka haiwezi kua mwaka wao
 
Hongera saNAAAAAA. Ni taarifa njema kwa ikulu na kwa Tanzania na watanzania wote. Nimekuwa siku zote nkimuona mtangazaji Zuhura kama makini, yuko profesional na mnyenyekevu. Kwa uchaguzi huu kazi iendelee na itaendelea kwa asilimia 100.
 
Sasa ngoja niandae washenga na mahali /brideworth niende Dodoma Chamwino nikalipie maana kwenda Uingereza ilikuwa Sina uwezo Bongo hii nafika kwa nauli ya ten tu toka Moro to Dom, karibuni wote
Unajidanganya, mazoea hayana Tiba.
ZUHURA YUNUS = HOYCE TEMU.
Discuss!
 
Sio CDM, ni nyie watu wa Nyanda za juu kusini πŸ˜‚

Huoni Erythrocyte ni alwatan wa pale Southern highlands?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ana vijimaneno vyake fulani ambavyo ukisoma lazima ucheke.
Rejwa uzi wake juzi alisema mamluki wapigwa bumbuwaziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…