Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.

Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Wakristo bhana,hapo ukiitwa kafiri utakasirika
 
Duh anaendelea kupanga safu ya wapwani,😂.. tuseme ni nepotism.
 
Kumbe mama Zuhura naye ni Kipenyo 😊Anyway Kipele kimempata mkunaji …
 
Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.

Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Duu kama wasilamu wakitaka ratio ya sawa kwa sawa kila maeneo patakua hapatoshi tupunguze udini kama mtu anastahili acha afanye kazi .Mbona Charles hillary kateuliwa
 
Mbona mauwaji yaliokithiri sasa ni majina yenu tu na sisi tumekaa kimya?
Mnakosea wapi?

Huwa hatuna unafiki anzisha uzi wa kujadili ukristo uone wangapi waislam wataponda au kuchangia
Ila sasa uzi uwe wetu utakuta viherehere kibao [emoji23][emoji23]
Na magaidi wanaotusumbua huko mtwara ni dini gani?
 
Shetani kaota mizizi Tanzania.Aliyofany bustani ya Eden anayarudia Tanzania.Wanaume wa Watanzani mmelala kama Adamu?Okay,subirini mpangiwe hata ratiba ya chakula cha usiku.
 
Ni mzanzibar,yeye mwenyewe amekiri kuwa mzanzibar!Tafuta interview aliyofanya na Salama Jabir!
Ila Yuko single na unavailable!
Single but extremely used. Watoto wachanga wamejaa ugombanie wazee kweli?
 
Hongera zake

Acha nae na familia yake wale mema ya hii nchi... NI faraja na furaha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…