Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Niwekee CV ya Jaffar hapa boss
Sina CV ya Jaffar Haniu lakini kwa sisi wafuatiliaji wa kazi zake tuliona makosa makubwa kama matatu.

1. Hana consistency kwenye font style aliyokuwa anaitumia kwenye press release zake

2. Copy and paste bila proof reading zilikuwa ni normal occurrence

3. Hata tarehe za press release zilikuwa zimakosewa.

Hata kama ana PhD ya mass communication lakini kwenye kazi hii ya Ikulu alipwaya. Wapishe wengine wachape kazi
 
Watanzania tunakubali kweli mwingereza ambaye mda wote akiwa BBC amekuwa mpinzani wa system yetu na mtu ambaye amekuwa akizi-challenge serikali zetu na ambaye identy yake haijulikani, kuwekwa kwenye position ambayo ni very delikcate kama hii Ikulu?

Watanzania mnaelewa lakini mambo mnayotendewa mbele ya macho yenu na Rais ambaye hana hata feeling ya maisha watanzania?

Ni kitu cha kusikitisha sana kuona Rais ambaye slogan yake ni maendelezo ya kazi iliyo anzishwa na mwenzake, badala ya kuendeleza kazi hiyo ili vijana waweze kuwa na kipato chenye uhakika, yeye anawarudisha watanzania tena nyuma kwenye hali ya wasi wasi na isiyo na uhakika.

Ana malengo gani huyu mama na watanzania? Mbona naona ni racist mkubwa sana wa kijinsia?
 
Msomi
Muhamed Saidi, naona bado hajaridhika tu na huu uteuzi.
Ataridhika hadi aone hadi wafagizi wote wa ofisi za Serikali wawe Waislamu.
 
Pascal Mayalla alishakataa hizo kazi
Pascal ni very senior kwa Msigwa na Jafari lakini alishajiondoa kwenye system anafanya yake
Alikung'ata sikio, au unahisi tu akipewa huo uteuzi ataukataa? Kama Charles Hilary na uzee wake, amekubali! Pascal Mayalla ni nani mpaka akatae uteuzi kutoka kwa Rais wa nchi?

Yaani mpaka muda huu shujaa alikuwa ni yule jamaa wa Tigo pekee, aliyeukataa UDC wa Magufuli.
 
Mama D wewe ni mimi kabisa, sijawahi ona shida watu wa dini au kabila kujazwa kwenye teuzi .Labda kwa kuwa Mimi ni muislamu ninayeamini njia za kuishi vizuri ni nyingi mno duniani na teuzi hazikamilishi furaha ya mwanadamu.

Wewe fikirira watanzania tuko
Maelezo yote haya ya nini??!

Hayakuhusu wewe mwenyewe binafsi kwa hiyo pita kimyakimya au signout mojakwamoja jf
 
Mama aJitahidi kubalance Dini, hii sio sawa manake JPM alilaumiwa kwa ukanda ila Dini it’s more sensitive matter! Huwezi ikawa kila teuzi anawaza dini na sio qualification na expertise kwenye eneo husika
Kwahiyo Zuhura hana qualification and expertise?
 
Hujaelewa nilichomaanisha kwenye hiyo post hapo juu mkuu, kama Jaffar kafutwa kazi kwanini nafasi hiyo isijazwe na mkiristo.

Maana 95% ya watendaji pale ikulu wote ni waislamu kwanini isiwe 50% kwa 50%
Umejua je kama pale wengi ni waislamu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kwa Sasa ni Mwendo wa Bakwata Tu, Huko Ikulu Kateuliwa Zuhura Yunus Huko Tiarei Nako Kateuliwa Mtu anaitwa Uledi Abbas.
.
Wacha Tuone atafikia Wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo hapo nashangaa. Wafanyakazi wengi wa serikali 80% ni wakristu.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Mwaka gani huo? Zuhuru alifanya kazi Redio Uhuru miaka zaidi ya 12 iliyopita baadae akaenda The Citizen linalomilikiwa na Mwananchi ndipo baadae akaenda BBC.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Dahh..
Sijui !!!? Ngoja tusubiriii....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…