Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Rais Samia amteua Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Jaffar Haniu kupangiwa kazi nyingine

Mwaka wa waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.

Mwezake Msigwa tangu afute kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
its about qualifications, hakuna mambo ya UISLAMU hapa. Acheni hizi mediocre thinking zenu
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu akimrithi Jaffar Haniu. Mwezi uliopita Zuhura aliaga BBC na hakusema anapoelekea.

Haniu aliyerithi kijiti kutoka kwa Gerson Msigwa atapangiwa kazi nyingine.

Wanawake oyeee, mpaka maji yaitwe mma.. Tunasubiri matokeo kutoka Dodoma japo tunayajua

View attachment 2103843
Kumbe Haniu alikuaga Kaimu.
 
Hivi kuwa msemàji ikulu lazima uwe mwandishi wa habari? Mbona taasisi kubwa kubwa maafisa uhusiano wao sio wanahabari?
Kwangu kuwa afisa uhusiano na kuwa msemaji wa taasisi ni jambo moja. Na jii kazi ni ngumu. Japo wenhi wanadhani ni rahisi kwa kuwa tu ni kutoa taarifa.

Hii ni moja ya kazi inayohitaji uweledi wa juu.
 
Back
Top Bottom