Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Wakristo wenzangu tuache majunguDah! Pole sana ndugu tatizo dini yako kikwazo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakristo wenzangu tuache majunguDah! Pole sana ndugu tatizo dini yako kikwazo.
Zuhura ni mzenji pure kabisa.Sio Mzanzibar....ni M-bara wa Kaskazini
Hakika!udini mwingi
Ndio yalikuwa mahubiri kwa nabii Tito!?Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Tusharidhika sasa hivi mama anaupiga mwingi chuki yangu kwake ilikuwa bure kabisa, sasa nipo nae na nina muunga mkono Mama yetu kwa 100%Wakristo wenzangu tuache majungu
Ni kweli inatakiwa tuache majungu, kikubwa tuusome mchezo vizuri ili likitokea gape tujazane kiasi cha kutosha.Wakristo wenzangu tuache majungu
Kwani Jaffar Haniu ni mkristo?Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Uncle ina maana Jaffar hakuwa sahihi?Duh! Usipime!
Kazi imepata mtu stahiki.
Hongera Zuhura Yunus!
P
Ni Muislamu nilihoji tu kama Jaffar katenguliwa why nafasi hiyo asipewe sasa mkiristo safi mfano ndugu yangu Pascal Mayalla nafasi hiyo ingemfaa sana.Kwani Jaffar Haniu ni mkristo?
Wakristo wenzangu tuache majunguudini mwingi
You nail it. PeriodHapa ndugu unakosea sana...mbona hao waislam wakati wa Magufuli akifanya teuzi walikuwa hawasemi kuwa mwaka wa wakristo huu! Usitake niamini "the lights are on,but nobody is home!
Duh! Usipime!
Kazi imepata mtu stahiki.
Hongera Zuhura Yunus!
P
Lakini kila mtu alijua ni wa muda huyo!Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Alikuwa anamwingiza chaka sana raise mfano kwenye akiba ya fedha za kigeni!Uncle ina maana Jaffar hakuwa sahihi?
EwaaaaNi kweli inatakiwa tuache majungu, kikubwa tuusome mchezo vizuri ili likitokea gape tujazane kiasi cha kutosha.
Kuimba kwa kupokezana.
You are wrong.Dah! Pole sana ndugu tatizo dini yako kikwazo.