kwani mimi nimeteua? Uongo?Ukweli?Hata wewe!!!!
Acha udini.
Tena? Siyo wa Kibandamaiti?Sio Mzanzibar....ni M-bara wa Kaskazini
si kweli lugha anaijua sana kasoma HGL Ilboru secondary kule Ilboru hawapelekwi vilaza acha uongo.walikuwa na Ayubu Lyoba enzi hizooo.kipindi hicho walikuwa wanasoma watu cream hivyo usipotoshe watu humu umlaumu kwa jingine na si lugha ya kiingereza.
Mtakufa midomo wazi kwa ajili ya chuki na kushindwa kuvumilia.Kumbe WAKIRISITO ni wepesi kiasi hiki.
Wakumbushe walipokuwa wakiteuliwa wao sisi tuliamua kufanya biashara ,mziki,mpira na vitu vingine na walisema kwa sababu hatujasoma sasa mbona upande wa pili vilio vimeanza asubuhi mapema?
Usichanganye mamboKumbe Haniu alikuaga Kaimu.
Haaahaaa!! Wabongo mmeshaanza Kumgombea. Tunasubiria na post za watakaodai ni Binamu zao, Majirani nk.Zuhura ni MPARE kenge wewe
Nilisikiliza hiyo interview,ni kweli ni mzanzibar!Zuhura Yunus ni Mzanzibar halisi kabisa, baba yake alikuwa mwanajeshi kutokea unguja.
Kwa wanaosema Zuhura ni mbara, wakatafute interview yake na Salama kwanzia dk ya 25 utamsikia mwenyewe akizungumzia kwao Unguja
Pascal Mayala kama hakuteuliwa awamu iliyopita zama hizi ndio haiwezekani hata jina lake kupendekezwa kupelekwa mezani kwa Saa 100Na hii umeikosa Bwana Pascal
Wonders shall never end
Siamini Kinachotokea hapa uwanjani, Pascal Mayalla anawekwa benchi tena
Naona BBC products wanazidi kuupiga mwingi kwenye ofisi za wazenj.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu amemteua aliyekuwa mtangazaji wa BBC, Zuhura Yunus kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu akimrithi Jaffar Haniu. Mwezi uliopita Zuhura aliaga BBC na hakusema anapoelekea.
Haniu aliyerithi kijiti kutoka kwa Gerson Msigwa Juni mwaka jana atapangiwa kazi nyingine akihudumu kwenye ofisi hiyo kwa miezi saba.
Wanawake oyeee, mpaka maji yaitwe mma.. Tunasubiri matokeo kutoka Dodoma japo tunayajua
======
Zuhura Yunus ni mwanamke wa kwanza kutangaza kipindi cha Kiswahili cha televisheni BBC, Dira ya Dunia akihudumu kwenye shirika hilo kwa miaka 14. Zuhura alijiunga na BBC Swahili mwaka 2008 akiwa mtangazaji na mtayarishaji wa matangazo. Alijulikana kwa wasikilizaji wa BBC Swahili kuwa mtangazaji kinara wa matangazao ya redio, Dira ya Dunia, Zuhura ameripoti na kutangaza uchaguzi wa Tanzania mwaka 2010.
Kabla ya kujiunga na BBC, Zuhura alifanya kazi ya utangazaji katika vipindi mbalimbali vya redio ya Times FM na Uhuru FM nchini Tanzania. Mwaka 2002 Zuhura alishinda tuzo ya Habari ya Ishi nchini Tanzania kutokana na ripoti ya HIV/Aids. Pia amefanya kazi ya uandishi wa habari katika gazeti la The Citizen newspaper.
Mwaka jana Zuhura aliandika kitabu chake cha wasifu wa Biubwa Amour Zahor, mwanaharakati mwanamke wa kisiasa wakati wa mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964.
Zuhura katika utumishi wake amewahoji viongozi wa Afrika kama vile Rais wa zamani wa Tanzania, Jakaya Kikwete kama sehemu ya taarifa kuhusu biashara haramu ya wanyama pori pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Museveni. Mahojiano aliyoyafanya na mgombea urais wa upinzani, Edward Lowassa mwaka 2015 yalizua gumzo katika vyombo vya habari nchini.
Zuhura ni muhitimu wa shahada ya kwanza katika Chuo Kikuu cha Mbale IUIU, Uganda na ana shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Vyombo vya Habari kutoka Chuo Kikuu cha Leicester, Uingereza.
Wakumbushe walipokuwa wakiteuliwa wao sisi tuliamua kufanya biashara ,mziki,mpira na vitu vingine na walisema kwa sababu hatujasoma sasa mbona upande wa pili vilio vimeanza asubuhi mapema?
Mbona milalamo imezidi? Si wakae kimya na dunia yao walio ishikilia mkuuIn short, wewe unajua kuwa dunia imeshikiliwa na hao uliowaita "wepesi"
Unafeli wapi mkuu wangu Nyboma..this is not you...utendaji wa mtu haupimwi kwa dini yake, mkuu! kama Haniu ameharibu sio kwa sababu ya dini yake, na kama akingepewa "mkristo" na kufanya vizuri sio kwa sabau ya dini yake!Nimehoji tu kama katenguliwa muislamu why asipewe mkristo hiyo nafasi? Anarudishwa muislamu haya mambo huwa kuna ku alternate akifeli muislamu anawekwa mkiristo.
Jafari ni jina la kikristu au kiislam?Mwaka wa Waislamu huu, Ndugu yangu Jaffar Haniu kakosea wapi? Sitaki kuamini kakubali kirahisi hivyo kuacha yale mapochopocho mix kuku sambusa wa ikulu.
Mwezake Msigwa tangu afutwe kazi ikulu siku hizi kapauka kweli, Ikulu ikulu tu.
Huna hoja Mkuu.Nimehoji tu kama katenguliwa muislamu why asipewe mkristo hiyo nafasi? Anarudishwa muislamu haya mambo huwa kuna ku alternate akifeli muislamu anawekwa mkiristo.
Kwa hiyo wakiwa wasukuma kunawafanya wasiwe wakristo, unafikiri hakuna waislam ambao ni wasukuma...udini hautufikishi kokoteIle haikuwa awamu ya Wakristo. Ilikuwa awamu ya Wasukuma ambao hawakuwa Waislamu ila walikuwa Wakristo. Acha watu waseme ukweli wao wa moyoni. Na zote ni serikali za CCM. Na hata wakati wa Magufuli tulipigia kelele kuhusu teuzi za akina Maduhu, Masanja, Maganga... Usijifanye haukuwepo.
Kipindi Cha salama na, yeye zuhurua alisema ni mzanzibariZuhura ni MPARE kenge wewe