Rais Samia amteue Tundu Lissu kuwa Waziri wa mambo ya nje & ushirikiano wa kimataifa

KISIWAGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
8,022
Reaction score
16,563
Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo
Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa & ujasiri wa kukabiliana na mtawala katili kuliko wote kwenye historian ya Tz
 
Wanakija wote wanavyomuogopa na kumchukia, watakinbilia uvunguni kwanza huku wakipanga jinsi ya kumbadili mawazo mwenye mamlaka ya uteuzi😂😂😂😂
 
Lissu ni wakuuwawa tu,hana thamani yoyote kwenye nchi yetu hii..zile risasi walipoteza gharama tu ila he is worthless and full of shit..auwawe na kisu butu kwa kuchomwa chomwa mwili mzima...traitor
Moderators naombeni mshuhulike na huyo haramia ana chochea uhalifu dhidi ya ubinadamu
 
Lissu ni wakuuwawa tu,hana thamani yoyote kwenye nchi yetu hii..zile risasi walipoteza gharama tu ila he is worthless and full of shit..auwawe na kisu butu kwa kuchomwa chomwa mwili mzima...traitor
Kajaribu na hilo wazo lako la KISHETANI
 
Iyo nafasi ni bora apewe Mzanzibari mwingine. Uyo mpuuzi hana utulivu kabisa anaweza kukurupuka mkurupuko ambao utaigharimu nchi
 
Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo

Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa & ujasiri wa kukabiliana na mtawala katili kuliko wote kwenye historian ya Tz
Lissu hawezi kukubali kuwa kwenye cabinet ya ccm, Huyu ni mpinzani pure hata bila chama.
 
Tundu Lisu na ujanja wake wote bado anashikiwa akili na Mbowe. Mfano Lisu aliwahi kuwa mtu mwenye misimamo thabiti huko nyuma. Lkn mwaka 2015 Mbowe akamfanya Lisu kuwa mpambaji wa kampeni za mtu aliempinga wazi wazi zaidi ya miaka 7 huko nyuma kutokana na kile alichodai ni ufisadi. Lkn baya zaidi akamfanya kuwa msafishaji wa barabara anayopita Lowasa nk. So hata akichaguliwa leo bila ruhusa ya Mbowe hawezi kukubali teuzi. Mbowe ni chai na Lisu ni mkate. Waswahili wanakwambia hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
 
Lissu hawezi kukubali kuwa kwenye cabinet ya ccm, Huyu ni mpinzani pure hata bila chama.

Mzee wa MIGA hajafika hata nusu ya viwango vya Dr Wilbroad Slaa
Lissu ni mzuri sana ktk kuongea na ujengaji wa hoja ila hana ujasiri ktk siasa za maandamano

Dr Slaa alikuwa 'a complete package',,,, mzuri ktk kujenga hoja, ana misimamo thabiti, mwenye falsafa anazoziamini na jasiri ktk siasa za maandamano, ndio maana alishavunjwa mpaka mkono na maaskari alipokuwa frontline na mkewe kwenye maandamano

Mzee wa MIGA ni mfika mdau mzuri tu ndio maana 2015 alilambishwa mgao akakengeuka itikadi zake za kukemea ufisadi na akakubali kumpokea na kumpamba jamaa wa kwenye 'The List of Shame'
Ni suala la muda tu atacross line na mtakuja kumtukana humu
 
Wewe ni mzushi mzuri tu, Lissu piga ua hawezi kuhongeka, atahongekaje mtu anayetumia gharama zake kutetea wanyonge mahakamani?
Mbona husemi Slaa alilambishwa?
Lissu siku zote za ujio wa Lowassa alikuwa kimya ikiashiria alikubali kwa kutokukubaliana.
Kuja kwa Lowassa ilikuwa msuko wa Mbowe.
Lissu na Mnyika ni watu ambao hawakuridhia Lowassa awe mgombea ndio maana hawajawahi kumsafisha, aliamua kuwa kimya sababu hapakuwa na namma.
 
Back
Top Bottom