Rais Samia amteue Tundu Lissu kuwa Waziri wa mambo ya nje & ushirikiano wa kimataifa

Rais Samia amteue Tundu Lissu kuwa Waziri wa mambo ya nje & ushirikiano wa kimataifa

Hii nafasi naona itamfwaa sana huyu baba maana kila sifa anayo
Kuanzia uwezo wa kuzungumza vizuri lugha ya wazungu,ufahamu mzuri wa sheria za kimataifa,kuielewa dunia,kufahamiana na wakubwa & ujasiri wa kukabiliana na mtawala katili kuliko wote kwenye historian ya Tz
Wakubwa anaofahamiana nao wa kumla tigo siyo?
 
Wewe ni mzushi mzuri tu, Lissu piga ua hawezi kuhongeka, atahongekaje mtu anayetumia gharama zake kutetea wanyonge mahakamani?
Mbona husemi Slaa alilambishwa?
Lissu siku zote za ujio wa Lowassa alikuwa kimya ikiashiria alikubali kwa kutokukubaliana.
Kuja kwa Lowassa ilikuwa msuko wa Mbowe.
Lissu na Mnyika ni watu ambao hawakuridhia Lowassa awe mgombea ndio maana hawajawahi kumsafisha, aliamua kuwa kimya sababu hapakuwa na namma.

Alikuwaje kimya wakati Mzee wa MIGA alishiriki kampeni kikamilifu na alimuombea kura za urais
 
Back
Top Bottom