Wewe ni mzushi mzuri tu, Lissu piga ua hawezi kuhongeka, atahongekaje mtu anayetumia gharama zake kutetea wanyonge mahakamani?
Mbona husemi Slaa alilambishwa?
Lissu siku zote za ujio wa Lowassa alikuwa kimya ikiashiria alikubali kwa kutokukubaliana.
Kuja kwa Lowassa ilikuwa msuko wa Mbowe.
Lissu na Mnyika ni watu ambao hawakuridhia Lowassa awe mgombea ndio maana hawajawahi kumsafisha, aliamua kuwa kimya sababu hapakuwa na namma.