Rais Samia amtimua Hanafi Hassan Msabaha, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara kisa wananchi kurudisha Kadi za CCM

Ufisadi ndio unaiweka ccm madarakani,

Fedha za kuhonga zinakusanywa na makada wao Kila sehemu, ukiwa hata mhudumu wa mgahawa kama wewe ni kada hakikisha unaiba hata kijiko kimoja kimoja Kila mwezi ili fedha za kuhonga zipatokane, kama ni mwalimu chaki ni haki yako kupita nayo kwa mstakabali wa chama.

Kutafuta asiye mwizi ccm ni sawa na kutafuta bikra kwenye kundi la machangudoa, kamwe huwezi kumpata.
 
Ni kama uhalisia tunaouona vile!
 
Wanatumia wafanya biashara kukusanya hela za kuhonga
 
Mkuu

Usimlaumu Rais walaum waliomweka Rais!!

Rais anaonyesha uwezo wake na ndio huo tunaouona!waliomweka kama yeye ndio wanapaswa kulaumiwa KWA kumweka yeye kama ameshindwa kutimiza matarajio yako wewe mwanamchi na mlipa kodi!!


Tuache KUMSHAMBULIA Rais tuishambulie mamlaka iliyomweka yeye kama hajatimiza matarajio ya wengi!!
 
Kadi ndio Silaha kuu tuliyonayo na tutaitumia ipasavyo!
Mtazitumia kuwasha mwenge kwani huu ni mwanzo wa hizo kadi zenu kurudishwa!! Zitarudishwa mpaka pale Samia atakaporudisha bandari zetu toka kwa wajomba zake!
 
utashangaa Kuna watu watakuja kupinga ukweli huu ulio UCHI Nashindwaga kuelewa nn shida
 
huyo si ni rais wa katiba, Tuwalaumu marehem walio pitishaga katiba ya kipuuzi
 
"Kutafuta asiye mwizi ccm ni sawa na kutafuta bikra kwenye kundi la machangudoa, kamwe huwezi kumpata" - Nukuu I nail it I salute you chief.
 
Haya ni màoni yako binafsi,nayaheshimu
 
Ufisadi ndio sera rasmi ya CCM. Siku wakiacha ujue hawapo madarakani.
 
Wivu tu. Kama nyie wenyewe kwenye mahakama mnamzunguka rais mnahongana wakati kuna sheria mnataka rais afanyeje??? Afukuzwe watu bila utaratibu wa kiutumishi halafu yaanze mashitaka dhidi ya serikali?? Acheni kumsingiziq rais wetu Dkt Samia.
 
Yeye anarudisha lini Ikulu yetu maana hapamtoshi hata kwa kila hari
 
Wivu tu. Kama nyie wenyewe kwenye mahakama mnamzunguka rais mnahongana wakati kuna sheria mnataka rais afanyeje??? Afukuzwe watu bila utaratibu wa kiutumishi halafu yaanze mashitaka dhidi ya serikali?? Acheni kumsingiziq rais wetu Dkt Samia.
nyie vyawa ndo mnamponza mama yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…