Rais Samia amtumbua Kamishna Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya

Rais Samia amtumbua Kamishna Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Rais Samia ametengua uteuzi wa katibu tawala wa mkoa Lindi ndugu NGUSA SAMIKE.

Naona mama anatupa jongoo na mti wake kabisa.

fb_img_1678972816463-jpg.2553806

FB_IMG_1678972818853.jpg
FB_IMG_1678972818853.jpg
 

Attachments

  • FB_IMG_1678972816463.jpg
    FB_IMG_1678972816463.jpg
    102.4 KB · Views: 136
1678975784973.png


1678975805248.png


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi kwa kuwateua Makatibu Tawala wa Mikoa watatu (3) na kuwahamisha vituo vya kazi wengine watatu (3).

Aidha, Mhe. Rais amefanya uteuzi wa Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya. Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:-
 
Rais Samia ametengua uteuzi wa katibu tawala wa mkoa Lindi ndugu NGUSA SAMIKE.

Naona mama anatupa jongoo na mti wake kabisa.
Not necessarily, atapangiwa kazi nyingine!.

Ila pia ninanote demotions za kiaina!.

Mtu alikuwa KM, akapandishwa kuwa Kamishna, halafu sasa anashushwa na kuwa RAS!. It's not fair, kanuni za Utumishi wa umma zifuatwe. Ukimshusha mtu wa level ya PS, mtupe ubalozini!.

P
 
Not necessarily, atapangiwa kazi nyingine!.
Ila pia ninanote demotions za kisima!.
Mtu alikuwa KM, akapandishwa kuwa Kamishna, halafu sasa anashushwa na kuwa RAS!. It's not fair, kanuni za Utumishi wa umma zifuatwe. Ukimshusha mtu wa level ya PS, type ubalozini!
P
Brother naomba elimu kidogo. KM, RAS, Kamishna wa Mamlaka wote hawa si ni Executive Level? Kama ndio bado inaitwa Demotion au ni reshuffle tu?
 
Not necessarily, atapangiwa kazi nyingine!.
Ila pia ninanote demotions za kisima!...
Hivi mtu akitolewa kwwnye u Katibu Mkuu akafanywa Kamishna ni kupandishwa cheo? Na kutoka u Kamishna kuwa RAS ni kushushwa cheo?

Ninavyojua cheo cha RAS ni sawa na KM kama vile RC alivyokuwa sawa na Waziri. Tofauti ni mmoja anakaa jijini na mwingine shamba.

Lakini inaelekea kwako cheo kinaendana uko wapi ndio maana unaona Balozi ni mkubwa kwa KM kwa sababu tu anaishi nje ya nchi!

Amandla...
 
Back
Top Bottom