Rais Samia amuapisha Dkt. Charles Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Ikumbukwe kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katib Mkuu TAMISEMI Dkt Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

2 (11).jpg
 
View attachment 2546022
Asijeleta braaaaa braaaa!!
 
Huyo ngiri kapewa ulaji tenà?
 
Back
Top Bottom