Rais Samia amuapisha Dkt. Charles Mahera kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - TAMISEMI

Mtu anatoka Marekani kuja kudharau waendesha bodaboda,inaingia akilini kweli?
Kwahiyoooo unamkana mjumbe wa halimashauri kuu ya chama chako jamanii. Haaaaaa haaaaaaaa.

Ambaye hataki KUWAONA bodabodaa waliolaaniwa ila anapenda kuwatumia kwenye misafaraa yaake . Duuuuuuh umemchukia Tena kamanda mwenzakoo.
 
Kuwa kamanda mwenzangu siyo chanzo cha kufanana mawazo.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Ikumbukwe kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katib Mkuu TAMISEMI Dkt Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
View attachment 2546022
Dr. Mahera?! Hii ni kati ya teuzi mbovu kabisa za Samia.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Ikumbukwe kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katib Mkuu TAMISEMI Dkt Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
View attachment 2546022
Subirini Mahera akapange mipango ya Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024!
Bibi keshawageuza CHADEMA kama chapati!!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Ikumbukwe kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katib Mkuu TAMISEMI Dkt Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
View attachment 2546022
Anayeshughulikia Afya, amechukua nafasi ya Dkt. Grace Maghembe aliyehamishiwa Wizara ya Afya.

Anakwenda kufanya kazi na Dkt. Ntuli Kapologwe, Mkurugenzi wa Huduma za Afya Ustawi wa Jamii na Lishe, nguli wa Sekta ya Afya nchini.

Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
 
Mahera amtafute Jerry Muro alipe kisasi amtandike hata kibao,kakijana kalimgombezaga vibaya sana tena hadharani wenye busara tulichukia mmmno..
Pumbafu zao Yale mavi-jana yoote ya mwendazake yameishia mitaani skuizi yanajidai makulima.....
cc makonda,Muro,hapi,sabaya,kasesera Bado m-nyeti alokimbilia bungeni nawenzie kina msukuma,kibajaji wang'oke
 
Back
Top Bottom