johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
DED ambao ni Wasimamizi wa Uchaguzi wako TamisemiNapinga kwa nguvu zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DED ambao ni Wasimamizi wa Uchaguzi wako TamisemiNapinga kwa nguvu zote
Kwa nafasi hiyo anakuwa bosi wa Wakurugenzi wa Halmashauri ambao husimamia mchakato mzima wa uchaguzi na kupanga matokeo kwa maeneo yao!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katib Mkuu TAMISEMI Dkt Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
View attachment 2546022
Hivi viapo ni usanii mtupu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katib Mkuu TAMISEMI Dkt Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
View attachment 2546022
Nonsense, saccos hamjui mtakalo. CCM imewanunua nyote kwa bei ya kutupa. Poleni sana.Kuapishwa kwa Mahera kwenye Cheo kipya ni moja ya mambo ya kudhalilisha mno Taifa
Anawapoza kidogoKuapishwa kwa Mahera kwenye Cheo kipya ni moja ya mambo ya kudhalilisha mno Taifa
Foolish decision.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katib Mkuu TAMISEMI Dkt Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
View attachment 2546022
😅😅😅Nawe mkobazi nini?angekua ni mkobazi, uzi ungegonga page200
Lema si alituonya tusimseme vibaya, au umesahauNapinga kwa nguvu zote
Lema limbukeni tu.Lema si alituonya tusimseme vibaya, au umesahau
Kwahiyoooo unampinga kamanda lemaLema limbukeni tu.
Akili ni nywele kila mtu ana zake.Kwahiyoooo unampinga kamanda lema
Unaibu Katibu Mkuu ni kama demotion flani hiviFadhila...aliupiga mwingi 2020
Haaaa haaaaa, labda wewe sio bavicha, kama ni bavicha umeanza usaliti wa chama Cha makamandaaAkili ni nywele kila mtu ana zake.
Kinarawwa wizi wa kura anapelekwa tamisemi asimamie wakurugenzi waibe kura chaguzi zijazoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katib Mkuu TAMISEMI Dkt Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
View attachment 2546022
Mhalifu mwingine tena apata uteuzi. Kile kikaragosi cha Masoud Kipanya cha chatu na mbwa kinazidi kutufikirisha tena na tena.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katib Mkuu TAMISEMI Dkt Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
View attachment 2546022
Mtu anatoka Marekani kuja kudharau waendesha bodaboda,inaingia akilini kweli?Haaaa haaaaa, labda wewe sio bavicha, kama ni bavicha umeanza usaliti wa chama Cha makamandaa
Kwanini unampinga raia namba moja?Napinga kwa nguvu zote