🤩🤩🤩🤩🤩Kuapishwa kwa Mahera kwenye Cheo kipya ni moja ya mambo ya kudhalilisha mno Taifa
Tunaofahamu huyu ni kama kashushwa cheo na anatafutiwa the way out 😀🤩🤩🤩🤩🤩
Naibu Katibu Mkuu Tamisemi unasema kashushwa Cheo?Tunaofahamu huyu ni kama kashushwa cheo na anatafutiwa the way out 😀
Kweli ni utani kweli kweliNaibu Katibu Mkuu Tamisemi unasema kashushwa Cheo?
Yaani kutoka Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC hadi Naibu Katibu Mkuu ni kushushwa?!!
Acha utani meku
[emoji23] [emoji23] Vipi kwani?Kuapishwa kwa Mahera kwenye Cheo kipya ni moja ya mambo ya kudhalilisha mno Taifa
Kwahiyo unapinga maamuzi ya raisi?Kuapishwa kwa Mahera kwenye Cheo kipya ni moja ya mambo ya kudhalilisha mno Taifa
Asijeleta braaaaa braaaa!!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katib Mkuu TAMISEMI Dkt Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
View attachment 2546022
Napinga kwa nguvu zoteKwahiyo unapinga maamuzi ya raisi?
Kisa alisimamia haki uchaguzi mkuu 2020?Kuapishwa kwa Mahera kwenye Cheo kipya ni moja ya mambo ya kudhalilisha mno Taifa
Huyo ngiri kapewa ulaji tenà?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 11 Machi 2023 amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Ikumbukwe kabla ya kuteuliwa kuwa Naibu Katib Mkuu TAMISEMI Dkt Mahera alikuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
View attachment 2546022
Naibu Katibu Mkuu Tamisemi unasema kashushwa Cheo?
Yaani kutoka Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC hadi Naibu Katibu Mkuu ni kushushwa?!!
Acha utani meku
Wasimamizi wa Uchaguzi wako wizara hii ya TamisemiAfu hii wizara si bado inahusiana na mambo ya uchaguzi.