Rais Samia amuonya Mchengerwa

Rais Samia amuonya Mchengerwa

Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
View attachment 3266657
Mchengerwa kaoa binti yake,hawezi kumtimua hata kidogo.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
View attachment 3266657
Kwa hili sawa, Halmashauri nyingi ,kwanza hawalipi stahiki za wafanyazi, kuna watumishi kibao wanadai stahiki zao , mfano likizo, kupandishwa vyeo , Wakurugenzi wapo tu kama midoli.

Nafikili TAMISEMI chini ya mchengerwa moja iwachukulie hatua kali wakurugenzi wa wenye ujinga huu ambao ni wengi.

Pili Tamisemi chini ya Mchengerwa ifutilie mbali ajiri pisi kali kwenye Halmashauri zetu , hizi pisi kali zikishawateka wakurugenzi na wakuu wa idara yanakua mazezeta.

Funga kazi fukuza wakurugenzi kwenye Halmashauri na nchi nzima ,hamna kitu pale.

Meisho Mchengerwa hii wizara imekushinda jiuzuru
 
Mh rais yupo sahihi
 
Back
Top Bottom