Koffi Annan
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 1,771
- 5,087
Kote kutamu inategemea na mkaoKwani TAMISEMI na maliasili wapi patamu?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kote kutamu inategemea na mkaoKwani TAMISEMI na maliasili wapi patamu?!
Umedanganyika?Muda wa kazi ni kazi
Mchengerwa kaoa binti yake,hawezi kumtimua hata kidogo.Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
View attachment 3266657
Ana kifua kidogo na k kubwa😀😀😀😀Si alisema Mkwewe huyo ana kifua kipana? Eegh kimeacha kutanuka tena?
Alipotoka Maliasili alienda Michezo na Utamaduni.....ulisahau....Kwani TAMISEMI na maliasili wapi patamu?!
Kweli kabsa, visingizio kibaoMapato tu! Na wasiolipa madeni ya watu!
TAMISEMI ya Jafo ilikuwa afadhali kuliko hii ya sasa!
MaDED wameatamia pesa za watu hawalipi!
We ndo umesahau alitoka utumishi akae da michezo baadaye maliasili later tamisemi. Upo hapoAlipotoka Maliasili alienda Michezo na Utamaduni.....ulisahau....
2@mwahambwaboy.ccmajambawazi.tzMapato tu! Na wasiolipa madeni ya watu!
TAMISEMI ya Jafo ilikuwa afadhali kuliko hii ya sasa!
MaDED wameatamia pesa za watu hawalipi!
Kuna mkondo mkalinkati ya mtu na mkwe wake.Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
View attachment 3266657
Kwa hili sawa, Halmashauri nyingi ,kwanza hawalipi stahiki za wafanyazi, kuna watumishi kibao wanadai stahiki zao , mfano likizo, kupandishwa vyeo , Wakurugenzi wapo tu kama midoli.Rais Samia Suluhu Hassan amemuonya Waziri wa Tamisemi, Mohamed Mchengerwa na kumwambia kama hatawachukulia hatua viongozi wa chini yake wanaoshindwa kusimamia mapato ya serikali, atawachukulia hatua viongozi hao pamoja na waziri huyo.
View attachment 3266657
Mh rais yupo sahihiKwa hili sawa, Halmashauri nyingi ,kwanza hawalipi stahiki za wafanyazi, kuna watumishi kibao wanadai stahiki zao , mfano likizo, kupandishwa vyeo , Wakurugenzi wapo tu kama midoli.
Nafikili TAMISEMI chini ya mchengerwa moja iwachukulie hatua kali wakurugenzi wa wenye ujinga huu ambao ni wengi.
Pili Tamisemi chini ya Mchengerwa ifutilie mbali ajiri pisi kali kwenye Halmashauri zetu , hizi pisi kali zikishawateka wakurugenzi na wakuu wa idara yanakua mazezeta.
Funga kazi fukuza wakurugenzi kwenye Halmashauri na nchi nzima ,hamna kitu pale.
Meisho Mchengerwa hii wizara imekushinda jiuzuru
Scripted onyo hilo. Walishajadiliana walipokuwa wanakula vipopoo vya futari kuwa nitakupiga biti, usishtuke mkwe.
Hahajajjaja rejea info then uje hapa.....nitakupa tree yake soonWe ndo umesahau alitoka utumishi akae da michezo baadaye maliasili later tamisemi. Upo hapo
Umeandika nini sasa..Hahajajjaja rejea info then uje hapa.....nitakupa tree yake soon