Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
 
Safi sana
 
Tuliyajua haya mapema sana na tukasema kupitia huu mtandao.

 
Aacha uzembe atumie nguvu zake, kasemwa sana
Tatizo watu wengi mnakurupuka hamjui mambo Ndugai akianza chokochoko bungeni Mama anavunja bunge na shughuli inaishia hapo jamani Watz mbona hampendi kujisomea mkazijua sheria?
Unataka kusema Spika ana nguvu kuliko Rais akiwa Bungeni?acha kuchekesha wasiojua Mbunge yupi anataka bunge livunjwe kwa sasa akose posho na salary hadi 2025?
 
Hivi unajua Madaraka ya Rais wewe?Mama akiamua anavunja bunge shughuli inaishia hapo
Ndio hapo tunaona umuhimu wa Katiba mpya. Kwa katiba tuliyonayo Ndugai hana ubavu anyamaze tuu asubiri astaafu ale kiinua mgongo chake. Rais wa Tanzania ni mungu mtu.
 
Yaani mkuu umenivuruga balaa...! Sasa kama Tozo inaweza kulipa deni halisi na interest yake juu, kwa nini tukakope!!

Kukopa siyo hiyari ni “lazima“ na “ukikopa“ kuna masharti ambayo ni lazima utimize kuna mengi ambayo yamejificha kama natural resources kuzipendelea Kampuni kutoka nchi zilizotoa fedha mfano sasa hivi Madini yetu ya Cobalt yanahitajika sana kwenye kutengeneza battery za electric cars hiyo ni mifano tu.
Na ndiyo maana Capitalist wanajificha nyuma vitu kama sijui mkopo wa kujenga madarasa na madawati lkn nyuma yake kuna mambo mengi sana.

Magufuli (RIP) alipokuwa anasema ni Vita ya Kiuchumi alimaanisha mambo kama hayo, yeye alikataa, kaingia huyu akafanya 180 degrees turn mara moja wala hakupoteza muda.

Deni la huo mkopo ni lazima lilipwe, sasa Bankers watazipataje fedha zao kutoka nchi masikiki kama yetu? Ndiyo hapo tozo inapokuja, kila mkopo una guarantee, tozo ndiyo guarantee yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…