Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
 
Licha ya Kuomba kwako radhi umeonekana huna maana si kitu, mtu mzima ovyo na umetangaziwa vita rasmi.

Ndugai watu wanachukulia Simple Bunge sasa ni wakati wako kushirikiana na wabunge mliotaka atawale kipindi cha mpito.

Anzeni Kujiandaa, hii ni vita ya kufa na kupona, ukiachia ubunge unakuwa helpless
Safi sana
 
Tuliyajua haya mapema sana na tukasema kupitia huu mtandao.

 
Aacha uzembe atumie nguvu zake, kasemwa sana
Tatizo watu wengi mnakurupuka hamjui mambo Ndugai akianza chokochoko bungeni Mama anavunja bunge na shughuli inaishia hapo jamani Watz mbona hampendi kujisomea mkazijua sheria?
Unataka kusema Spika ana nguvu kuliko Rais akiwa Bungeni?acha kuchekesha wasiojua Mbunge yupi anataka bunge livunjwe kwa sasa akose posho na salary hadi 2025?
 
Hivi unajua Madaraka ya Rais wewe?Mama akiamua anavunja bunge shughuli inaishia hapo
Ndio hapo tunaona umuhimu wa Katiba mpya. Kwa katiba tuliyonayo Ndugai hana ubavu anyamaze tuu asubiri astaafu ale kiinua mgongo chake. Rais wa Tanzania ni mungu mtu.
 
Yaani mkuu umenivuruga balaa...! Sasa kama Tozo inaweza kulipa deni halisi na interest yake juu, kwa nini tukakope!!

Kukopa siyo hiyari ni “lazima“ na “ukikopa“ kuna masharti ambayo ni lazima utimize kuna mengi ambayo yamejificha kama natural resources kuzipendelea Kampuni kutoka nchi zilizotoa fedha mfano sasa hivi Madini yetu ya Cobalt yanahitajika sana kwenye kutengeneza battery za electric cars hiyo ni mifano tu.
Na ndiyo maana Capitalist wanajificha nyuma vitu kama sijui mkopo wa kujenga madarasa na madawati lkn nyuma yake kuna mambo mengi sana.

Magufuli (RIP) alipokuwa anasema ni Vita ya Kiuchumi alimaanisha mambo kama hayo, yeye alikataa, kaingia huyu akafanya 180 degrees turn mara moja wala hakupoteza muda.

Deni la huo mkopo ni lazima lilipwe, sasa Bankers watazipataje fedha zao kutoka nchi masikiki kama yetu? Ndiyo hapo tozo inapokuja, kila mkopo una guarantee, tozo ndiyo guarantee yenyewe.
 
Back
Top Bottom