Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Hangaya ana kiburi, 😀😀😀
 
Ni wa vuguvugu Mara hataki kuwa kama Magufuli Mara or Mbona hamkufanya hivi nyakati za Magufuli kwani mfanye wakati wangu. Anakosa competence maturity ya utawala katika ngazi husika
 
Inaelekea Samia hajakubali kabisa msamaha alioomba Ndugai kwa kutumia kitubio cha kanisani Anglican!
Ktubio kilianza na kusingizia watu eti wali edit. Hakikuwa kitubio cha moyoni bali hofu tu.
 
Wadau naomba kufahamu kama Tozo ni jambo la Muungano.
Kwani nimemskia Waziri wa Fedha Bw. Mwigulu Nchemba akidai kuwa kwa Mwezi wa Dec 2021. Zanzibar imepelekewa Bil. 161Tshs ili hali Bara Tshs Bil 91. Ina kuweje Pesa za Walipa kodi wa Bara ziende Zanzabar? Zanzibar ina watu wake wa kulipa Tozo. Inakuweje hii? Je ina maana kila mwezi Pesa za Bara zina pelekwa Zanzibar? Au ndio kujipendekeza bila kujali Sheria, taratibu na misingi ya Muungano pamoja na Sera za Fedha?
 
Ndugai alishasema yeye atakuwa pamoja na wale ambao hawataki mikopo!
🤣🤣 Mama ataendeleza legacy aliyoianzisha Magufuli na sukuma gang wakamsifia ya kuchapisha form moja tu kudadeki
 
Msimdanganye ndugai..
Mkumbuke yule UVCCM alisema CCM watatumia sindano kummaliza Lisu..
Sasa kwakuwa ndugai Ni mgonjwa..zoezi la sindano litakuwa jepesi.
 
Piga rungu nyoka mama we
Ndóooo president

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Ndugai kama anajua kupima mambo. 2025 wala asijaribu kugombea ubunge…kinyanganyiro cha kura za maoni ndio itakuwa mwisho wake!!
Wale wajumbe walisimama na kuimba wimbo TUNA IMANI NA SAMIA ina maana hawana imani na Ndugai sasa Ndugai atafanyaje. Halafu alishamuonya naona atamkimbuka
 
Amepiga kwenye mshono na kidonda bado kibichii!
Kajaribu kutingisha kibiriti na kumbe kimejaa njiti full.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…