mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Hao wabunge kwa sasa hawana raha wanaskilizia tu.MAMA AANZE NA WABUNGE 19 WA NDUGAI ILI NDUGAI AJUE UWEPO WA MAMA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wabunge kwa sasa hawana raha wanaskilizia tu.MAMA AANZE NA WABUNGE 19 WA NDUGAI ILI NDUGAI AJUE UWEPO WA MAMA
Maccm walivyo na roho mbaya wangemmaliza hapo hapoNaona hata tathmini ya leo hakuhudhuria, wangemgawana nyama [emoji24][emoji24][emoji24]
Aisee maisha hayaaaaa!!!Hata kama alipewa wazee wa mabaka walijua nn mama atasema hivyo wakamtonya asiende
Hangaya anataka kujiimarisha katika kiti chake!Kuliko kufanya kazi na mtu asiye maono, ni bora ubwage manyanga tu.Huyo hangaya amalizie muda wake atoke.
Na akikaa vibaya wanamkana na anapigwa chini mapema tuWatu wengi hawapendi kujisomea ndio tatizo kubwa la nchi yetu eti mtu anakuja na thread kama hii seriously?hao wabunge wakose Milioni zao kisa Spika?
Hapo ni sukuma gang tu ndiyo steringYaan JOB amwekee mtego SAMIA?? heheheheh JOB atachakazwa vibaya.
Hangaya ana kiburi, 😀😀😀Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni Uhuru wa Mtu kusema chochote, lakini inashangaza Mtu anayetegemewa kushirikiana na Serikali kwenye safari ya maendeleo 'kuargue' kuhusu Tozo na Mkopo wa Trilioni 1.3 kwasababu taarifa zote za Uchumi zinapita kwake akisema, "Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"
Ameongeza, "Huwezi kuamini mtu mzima na unaenda kuargue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3 kama kwamba ndio kwamba inatokea Tanzania wakati toka tunapata Uhuru ni Mikopo kwenda mbele. Na katika Mikopo yote huu ni mkopo mzuri zaidi"
Ni wa vuguvugu Mara hataki kuwa kama Magufuli Mara or Mbona hamkufanya hivi nyakati za Magufuli kwani mfanye wakati wangu. Anakosa competence maturity ya utawala katika ngazi husikaMama Samia baada ya kuapishwa na alipoenda kulihutubia bunge aliwaambia wakosoe vikali.
Na hili lilipobgezwa na wengi kuwa huenda ukawa mwanzo mpya wa bunge kuikosoa serikali na hivyo kuacha alama.
Ila yanayotokea sasa ni kuwa mama hakubaliani na huo ukosoaji, au ilibidi wakosoe kitu gani maana kwenye hili la tozo na mikopo umekua mkali sana.
Mama rejea tena hotuba yako ya kwanza bungeni, uliwaambia mwenyewe.
Ktubio kilianza na kusingizia watu eti wali edit. Hakikuwa kitubio cha moyoni bali hofu tu.Inaelekea Samia hajakubali kabisa msamaha alioomba Ndugai kwa kutumia kitubio cha kanisani Anglican!
Mzee sasa hivi yupo msoga ana jitafunia pensheni yake kwa utuuvuuuWanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Hahahaha, ubatizo wa Moto by mzee makamba, matokeo yake na yeye akabatizwaHuu ndo wakati wa ndugai kubatizwa kwa maji ya moto au tusubiri wakati mwingine
Ndugai ni speaker ifahamike, au sumu haionjwi kwa ulimi tumuulize Mbowe kaitema sumu toka ulimini!!Wa kumkosoa ni Ndugai ambaye hakujua kina cha maji kipo vipi. Alitegemea kumkwaza Rais matokeo yake imekula kwake mazima.
🤣🤣 Mama ataendeleza legacy aliyoianzisha Magufuli na sukuma gang wakamsifia ya kuchapisha form moja tu kudadekiNdugai alishasema yeye atakuwa pamoja na wale ambao hawataki mikopo!
Sasa hivi ni tajiri mkubwaHahaha!!! Samia miez nane ila uraisi umemkolea mpaka basi..
Mitano tena kwa Samia hahaha!!!!
Piga rungu nyoka mama weKwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025. Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Wale wajumbe walisimama na kuimba wimbo TUNA IMANI NA SAMIA ina maana hawana imani na Ndugai sasa Ndugai atafanyaje. Halafu alishamuonya naona atamkimbukaNdugai kama anajua kupima mambo. 2025 wala asijaribu kugombea ubunge…kinyanganyiro cha kura za maoni ndio itakuwa mwisho wake!!