Huko kwa makatibu wakuu na wakurugenzi si alishabadilisha? Au abadilishe tena?Hicho ndo kitu pekee nilichotaraji kutoka kwa Mama. Ningeshangaa asingefanya hivyo. Ila hapo kwenye Mabadiliko asiishie kwenye baraza la mawaziri ashuke chini kwenye Makatibu, wakurugenze na wakuu mbalimbali wa Idara na taasisi. Huku chini ndo hawamsaidii kabisa na wanafanya hila za wazi kumuangusha. Piga kazi Mama tupo bega kwa bega hadi kieleweke
Watanzania na Viongozi wetu tunafurahia mkopo na kuimba kbs.Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni Uhuru wa Mtu kusema chochote, lakini inashangaza Mtu anayetegemewa kushirikiana na Serikali kwenye safari ya maendeleo 'kuargue' kuhusu Tozo na Mkopo wa Trilioni 1.3 kwasababu taarifa zote za Uchumi zinapita kwake akisema, "Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"
Ameongeza, "Huwezi kuamini mtu mzima na unaenda kuargue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3 kama kwamba ndio kwamba inatokea Tanzania wakati toka tunapata Uhuru ni Mikopo kwenda mbele. Na katika Mikopo yote huu ni mkopo mzuri zaidi"
asingechukua round wangemuuaNdugai alitakiwa kubaki na msimamo wake, kama kuvurugana wavurugane kila mmoja aoneshe makali kwa nafasi yake aliyopi
😀😀😀 Mbazu janeBhebheshiiiiiiii!!!!!@ utigwa shiiiii???
Sizan kama atawawezaMama lazima alalame , maana ameshajua kuna watu chamani wanna lengo lao 2025, sasa anataka kupambana nao .
Mliwa na mafunza yupi tena?Anaendelea vizur anakula ugali wake taratibu. Vip huko kwako, yule mliwa na mafunza anasemaje?!!
Dah kumbe makijani ndo mnampa presha Samia? Na ungamo lote lile bado mmekataliwa?Mliwa na mafunza yupi tena?
Maana ninavyojua ni kwmba sasa hivi mnapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5.
Kama hatajiuzulu atafanya kazi kwa stress kubwa mno!Hajiuzulu trust meView attachment 2068614
Mwambie aendelee kutuonea..ameruhusiwa.Mliwa na mafunza yupi tena?
Maana ninavyojua ni kwmba sasa hivi mnapumua baada ya kuonewa sana kwa miaka 5.
Awaonee vipi tena wakati sasa hivi mnapumua?Mwambie aendelee kutuonea..ameruhusiwa.
Ujumbe wa Ndugai ulikuwa unauma, kuchoma na kukera ndio sababu unaona Hangaya kapanic namna ile!Dah kumbe makijani ndo mnampa presha Samia? Na ungamo lote lile bado mmekataliwa?
Ni hatari sana, yetu machoTatizo ni kwamba mama mwenyewe hii inshu imekuwa ya kushtukizwa na yeye
Wakati anakimbia alijua yuko nao kumbe wamesimama wanamwangalia tu...
Ndugai ana fursa ya kuandika hostoria kwa bara ala Africa. Atapata heshima kubwa sana kama atajiuzulu sasa kwa sababu ya kushidwa kuelewana na Raisi wake kuliko kukomaa na kubakia madarakani bila maelewano ya serikaliKwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025...