Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Ndugai kama anajua kupima mambo. 2025 wala asijaribu kugombea ubunge…kinyanganyiro cha kura za maoni ndio itakuwa mwisho wake!!
 
Ndugai na kundi lake limedhamiria kumyumbisha mama
 
Hao wabunge wajiandaee tu, badala ya kulamba miguu wachague mahala sahihi
 
Sukuma gang ni maharamia
 
Kimsingi amekosa sifa ya kuendelea kuwa kiongozi mkubwa wa kiwango hicho,na anatakiwa asaidiwe kwa kushuka kwenye nafasi hiyo,
Alifanya kosa kubwa kusimama hadharani kuitikisa mamlaka ya urais kitendo ambacho hakijawahi kufanywa na kiongozi yoyote anaejiambua nchini, alifanya Jambo jema Sana kuomba msamaha lakini akafanya kosa jingine kubwa zaidi kutaka kutuaminisha kwamba haikuwa vile Bali watu wa mtandao waliedit,Sasa Kama waliedit anataka msamaha wa Nini?!!,maana yake sisi sote tuliokasirishwa na kitendo chake hicho (akiwemo Mh.Rais wetu ) tunamuonea?! To me an apology is not accepted, it seems Bado anaendelea kutucheza shere watanzania, CCM tunaomba mtafakari Kama huyu mtu anatosha kuwa kiongozi wa watanzania,Hata naye ajipime Kama anatosha.
Hakika mamlaka kuu huwekwa na mwenyezi mungu na asiyethubutu kuamini hili na asubiri kudhalilika tu.
Mama leo amepiga kwenye mshono.
Ndugai leo 'kavuliwa nguo' na jana alijisahau 'akavua nguo yake ya ndani', sasa leo hana nguo kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…