Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawazo mfu haya, mamlaka ya urais sio mamlaka ya Mungu, kwanini isihojiwe?Kimsingi amekosa sifa ya kuendelea kuwa kiongozi mkubwa wa kiwango hicho,na anatakiwa asaidiwe kwa kushuka kwenye nafasi hiyo,
Alifanya kosa kubwa kusimama hadharani kuitikisa mamlaka ya urais kitendo ambacho hakijawahi kufanywa na kiongozi yoyote anaejiambua nchini, alifanya Jambo jema Sana kuomba msamaha lakini akafanya kosa jingine kubwa zaidi kutaka kutuaminisha kwamba haikuwa vile Bali watu wa mtandao waliedit,Sasa Kama waliedit anataka msamaha wa Nini?!!,maana yake sisi sote tuliokasirishwa na kitendo chake hicho (akiwemo Mh.Rais wetu ) tunamuonea?! To me an apology is not accepted, it seems Bado anaendelea kutucheza shere watanzania, CCM tunaomba mtafakari Kama huyu mtu anatosha kuwa kiongozi wa watanzania,Hata naye ajipime Kama anatosha.
Hakika mamlaka kuu huwekwa na mwenyezi mungu na asiyethubutu kuamini hili na asubiri kudhalilika tu.
Najiskia furaha sana., ndugai apewe ulinzi anaweza kujininginiza kamba shingo uko aliko, kumbe ngoma mbichi badoRais Samia Suluhu Hassan amesema ni Uhuru wa Mtu kusema chochote, lakini inashangaza Mtu anayetegemewa kushirikiana na Serikali kwenye safari ya maendeleo 'kuargue' kuhusu Tozo na Mkopo wa Trilioni 1.3 kwasababu taarifa zote za Uchumi zinapita kwake akisema, "Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"
Ameongeza, "Huwezi kuamini mtu mzima na unaenda kuargue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3 kama kwamba ndio kwamba inatokea Tanzania wakati toka tunapata Uhuru ni Mikopo kwenda mbele. Na katika Mikopo yote huu ni mkopo mzuri zaidi"
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni Uhuru wa Mtu kusema chochote, lakini inashangaza Mtu anayetegemewa kushirikiana na Serikali kwenye safari ya maendeleo 'kuargue' kuhusu Tozo na Mkopo wa Trilioni 1.3 kwasababu taarifa zote za Uchumi zinapita kwake akisema, "Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"
Ameongeza, "Huwezi kuamini mtu mzima na unaenda kuargue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3 kama kwamba ndio kwamba inatokea Tanzania wakati toka tunapata Uhuru ni Mikopo kwenda mbele. Na katika Mikopo yote huu ni mkopo mzuri zaidi"
Raisi ni taasisi siyo mtuWewe ndio mweupe bro. Hujui rais ni kiumbe gani.
Si ndo hapo!!. Ah!!,Maza anatuletea ishu za taarabu.Mwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.
Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.
Kwahiyo mnataka nini??
Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.
Mtu ameshaomba radhi.
Yeye bado kashikilia bango.
Poor thinking capacity.
Huyu mama ni mswahili na hizo ndio zaoNa anadhihirisha yupo tayari kufanya lolote kwa ajili ya 2025
Ila pia nimeona mama sio mvumilivu. Alishamjibu ndugai siku ile, angeachana nae tu
Chini kuna ukoko, kwa ulafi wa CCM huwezi kukuta nyama chini.Tunywe mtori nyama tutazikuta chini!
Mawazo mfu haya, mamlaka ya urais sio mamlaka ya Mungu, kwanini isihojiwe?
Kwa akili zenu fupi mnataka kutengenzea taifa la mazezeta lisilojua kuhoji ili mfanye mtakavyo.
Atajiju.Imeandikwa "Ukiua kwa upanga, utakufa kwa upanga".Ndugai sijui hali yake ilivyoo
Chuku yake kwa Mbowe na kuwatumia kina Lijualikali kumdhalilisha ndo karma inamtafuna.Figisu dhidi ya Lissu bado inamsubiri baba YustinoNdugai atakunywa sumu, hali yake ni mbaya sana
Hivi hawa wanaosemagwa ni sukuma gang ni wepi kwaniUwiiiiiiiiiiiiiii!
Sukuma gang chaliiiiiii
Chato legacy chini!!!!!?!
Nyanengh'we!!