Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Ni dhahiri na halali huyu mgogo kuwa mgonjwa ghali Tanzania na jumuiya ya Afrika Mashariki.
Yaani wagogo na kile chuo kuwepo kuwapa degree za bure, hawajaelimika.

Nani atampa Kura huyo mgogo mnafiki na mbinafsi kuliko hata ubinafsi wenyewe??

Kazi iendelee mama Rais, mgogo 2025 tunakata hela ya matibabu check up Dodoma general panamtosha.

Everyday is Saturday.................................................😎
 
Huyu mama anapaswa kuelewa nafasi aliyonayo ni nyeti namba moja kitaifa.
Unapoendeleza malumbano ya kike kwa mtu ambaye tayari amejishusha na kuomba msamaha.
Rais wa nchi unapaswa kuonyesha ukomavu wa kisiasa ikiwemo pia kuwavumilia na kuwasamehe wale msioendana kimtizamo.
Mimi binafsi namuona mama kama vile ndie kaingia mtego wa Ndugai.
Vinginevyo siasa ndani ya CCM zitamsumsumbua zaidi, kwani atabaki na kundi la wanafiki kama huyo Mwigulu & wanafiki classics

Halafu ni huyo mtu wa mipasho ni Mchumi eti!
 
Na anadhihirisha yupo tayari kufanya lolote kwa ajili ya 2025
Ila pia nimeona mama sio mvumilivu. Alishamjibu ndugai siku ile, angeachana nae tu
Kitendo cha ndugai kuomba msamaha hadharani ilitosha kuonesha hakuko sawa,
Ndugai alikuwa na uwezo wa kupiga simu au hata kuonana nae na kuyamaliza
ilitosha kuonesha mgogoro ni mkubwa ndani huko.
 
Mimi nilidhani Ni shemeji zangu tu ndio wenye vijembe. Kumbe hata huko Makutupora......
 
Back
Top Bottom