Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Ila lakini Cha kujiuliza ni kwamba job hakujua Ile kauli yake ingeleta haya yote? Nadhani alijua na nadhani alikua anamback-up mtu kambi zimeanza rasmi!
 
Asante sana Mama kwa kuweka upepo sawa. Sasa na maelezo ya matumizi ya mkopo huo ni muhimu zaidi pia. Ufafanuzi wa matumizi yake watume wasaidizi wako watufafanulie.

Ni rahisi tu hilo, Tozo ni kwa ajili ya kulipia Deni alilochukuwa, na ndiyo maana kuna wanaanzisha vagi msihoji, TOZO siyo kwa matumizi walioyasema bali ni za kulipia hayo matrilioni plus interest of course.

Hapo hamna kitu …
 
Katika Mikopo yote tuliyowahi kuchukua …huu wa 1.3 trillion ndio una uwazi zaid-Jemedari Job Ndugai 3rd Jan,2022
Ndugai point is valid. Usitutishe madeni muhimu tuyajue, madeni yote , hii mikopo inafanya kazi gani?
 
Kutokana na kuwaza zaidi kuhusu 2025 na matarajio yake kupotea Ndugai amejiweka pabaya huenda hata bunge likamwondoa maana amekuwa wazi kabisaa kuonesha dharau kubwa Sana kwa Mh Rais niliwahi kuleta post hapa huyu ndugai anakilichojificha mbeleni hakuamini iKama ile IWE ISIWE NA KUPORA PESA ZA MATIBABU YA LISSU KUNA SIKU MUNGU ASIYELALA ATARUDISHA TUU NA HUU NDIO WAKATI WA NDUGAI KUWAMBWA MSALABANI yeye alitibiwa kwa zaidi Billion 2 hakuona mwenzake kuwa anahitaji matatibabu hayo halafu na mwendazake akashangilia wote hawa Mungu amewaandalia fungu mahali pao hakuna rangi hawataona wakati wa Mungu ukifika.
 
Kutokana na kuwaza zaidi kuhusu 2025 na matarajio yake kupotea Ndugai amejiweka pabaya huenda hata bunge likamwondoa maana amekuwa wazi kabisaa kuonesha dharau kubwa Sana kwa Mh Rais niliwahi kuleta post hapa huyu ndugai anakilichojificha mbeleni hakuamini iKama ile IWE ISIWE NA KUPORA PESA ZA MATIBABU YA LISSU KUNA SIKU MUNGU ASIYELALA ATARUDISHA TUU NA HUU NDIO WAKATI WA NDUGAI KUWAMBWA MSALABANI yeye alitibiwa kwa zaidi Billion 2 hakuona mwenzake kuwa anahitaji matatibabu hayo halafu na mwendazake akashangilia wote hawa Mungu amewaandalia fungu mahali pao hakuna rangi hawataona wakati wa Mungu ukifika
mipasho mingi
 
Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali yake ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!

Kwa hiyo yeye ajiandae peke yake lakini si wenzake wenye nia??? 😊😊

Utamu wa kuwa juu ya wengine ushakolea...
 
Kwa hiyo clip ya mama nashauri ajihuzuru tu kuficha aibu na kulinda heshima ya cheo
 
Back
Top Bottom