Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

W
Spika auwashe moto tuone nani atakua mkali. Akiingia bungeni aweke pembeni swala la chama na bunge afu tuanze mijadala sa

Spika auwashe moto tuone nani atakua mkali. Akiingia bungeni aweke pembeni swala la chama na bunge afu tuanze mijadala sasa
Acheni kumdanganya ataliwa kichwa mapema kwenye halmashauri ya chama ya dharula,

Ujinga alioufanya ni kuwa upande wa Magufuli na kufuta wapinzani bungeni.

Nakuhakikishia kungelikuwa na walau hata robo ya wabunge wa upinzani angeuwasha moto na huenda hata Rais asingeweza kumnanga hivyo, maana angejua kuwa sasa huko bungeni wapinzani wa chama chake wangeungana na upinzani kuisulubu serikali yake.

kwa tukio hili liwe fundi kwa maspika wanaochekelea kuwa na bunge la chama kimoja maana hata Spika anakuwa hayuko salama.

Maskini Ndugai hakulijua hili au ndo ile wanayosema akili ndogo. Du Acha alinywe sasa.
 
Licha ya Kuomba kwako radhi umeonekana huna maana si kitu, mtu mzima ovyo na umetangaziwa vita rasmi.

Ndugai watu wanachukulia Simple Bunge sasa ni wakati wako kushirikiana na wabunge mliotaka atawale kipindi cha mpito.

Anzeni Kujiandaa, hii ni vita ya kufa na kupona, ukiachia ubunge unakuwa helpless

Sileti ukabila ila ndugu zetu wagogo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Licha ya Kuomba kwako radhi umeonekana huna maana si kitu, mtu mzima ovyo na umetangaziwa vita rasmi.

Ndugai watu wanachukulia Simple Bunge sasa ni wakati wako kushirikiana na wabunge mliotaka atawale kipindi cha mpito.

Anzeni Kujiandaa, hii ni vita ya kufa na kupona, ukiachia ubunge unakuwa helpless
Technically Ndugai ndie mshindi maana kwanza kaomba suluhu,pili kutosamehewa kwake na kudhalilishwa anaenda kuungwa mkono na wabunge.

Uzanzibar wa mama na upendeleo wa Zanzibar utamuangusha sana hivi punde,sasa vita ni ubara na utanganyika
 
Hii vita spika akiamua kupambana atashinda isitoshe huyu maza hakubaliki popote walio wengi washaona ni mweupe na anatuuza.

Hakubaliki kwako acha kusemea watu wengine.
Kama wewe ndo Ndugai basi ujue hii game hutoboi, kama wewe ni mbunge basi ujue unamalizia awamu yako tu[emoji23]
 
Spika ameomba msamaha, Ninakuomba Mama sisi wakristo kwenye kitabu Cha Nabii Habakuki kinasema katikati ya ghadhabu kumbuka Rehema. Mama msamehe Spika. Yaishe. Please.
Mwisho ailisema hawa ni wa kusamehe maana wanaangalia 2025
 
Ndungai alikosea kwenye ule utetezi na msamaha wake fake, yeye angesema kweli jamani nimesema yote mliyosikia ila siku hiyo mimi nilisahau kumeza dawa zangu hivyo hata sijui nilichokuwa nasema. Kwa vile inajulikana kuwa chizi huwa haponi watu wangempotezea tu chizi wetu, simple.View attachment 2068432

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Aisee akikujua wewe atakuchinja kwa mkono wake!
 
Toa ushauri wako kwa Mzee wetu Jobb Ndugai,
Ni baba na Mzee wa familia. Hakuna aliekamilika hususan ukiwa ahai.

Neno la busara kwa Mzee wetu..

Haijalishi atapitia magumu gani mwambie asisahau muda ni mwalimu mzuri.
Awamu ile alijisahau sana, alishiriki kuziba watu midomo akiwemo CAG Prof. Assad sasa kiko wapi? Tuishi kwa wema asijisahau sana
 
Wadau naomba kufahamu kama Tozo ni jambo la Muungano.
Kwani nimemskia Waziri wa Fedha Bw. Mwigulu Nchemba akidai kuwa kwa Mwezi wa Dec 2021. Zanzibar imepelekewa Bil. 161Tshs ili hali Bara Tshs Bil 91. Ina kuweje Pesa za Walipa kodi wa Bara ziende Zanzabar? Zanzibar ina watu wake wa kulipa Tozo. Inakuweje hii? Je ina maana kila mwezi Pesa za Bara zina pelekwa Zanzibar? Au ndio kujipendekeza bila kujali Sheria, taratibu na misingi ya Muungano pamoja na Sera za Fedha?
Zanzibar ni jamhuri ya Muungano Mbona hamkuhoji Uwanja wa Ndege Chato na Miradi mikubwa ilivyokuwa ikipelekwa huko acheni mama ajenge kwao akifa atazikwa Zanzibar
 
Zanzibar ni jamhuri ya Muungano Mbona hamkuhoji Uwanja wa Ndege Chato na Miradi mikubwa ilivyokuwa ikipelekwa huko acheni mama ajenge kwao akifa atazikwa Zanzibar
Wewe hata mimi nikienda chato kaploti napata hata kama nimetokea kongwa
 
Zanzibar ni jamhuri ya Muungano Mbona hamkuhoji Uwanja wa Ndege Chato na Miradi mikubwa ilivyokuwa ikipelekwa huko acheni mama ajenge kwao akifa atazikwa Zanzibar
Hela zilitoka wapi? Acha akili fupi
 
Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Aidha amesema wale wote wanasioweza kwenda pamoja na yeye katika kuwaletea wananchi maendeleo atawaondoa katika serikali ya ili wapate muda wa kutosha kujiandaa na uchaguzi wa 2025!
Imagine wabunge wa Ccm hawaijui nguvu yao.
 
sina mahaba na ndugai wala ccm.

ila usimlaumu kwa kukurupuka kwake kuomba msamaha.

pressure kutoka ndani ya ccm ilikuwa kubwa sana na jamaa akawa hana namna. alibanwa kwenye crempu.

na ukute hata kundi lililokuwa nyuma yake lilimuacha apambane kivyake.

shida ni kwamba amemuomba msamaha mwanamke, mbaya zaidi ni mwanamke mwenye asili ya pwani. wanawake wa pwani na vichambo ni pete na kidole.

kichambo alichopewa leo sidhani kama alikitarajia. angalau leo yale maccm yenye tamaa ya kiti cha urais, yamejua rangi halisi ya mama.

Kaka huyu jamaa lazima alaumiwe. Nilijua ni mwanaume hasa aliposimama na kusema yale . Na wala hakufanya kosa. Alifanya kitu sahihi sana .

Hii mikopo haitumiki kwa kusudi lake ; inaenda kutupigwa na mafisadi. Sasa yeye kama Spika ana haki ya kuweka hofu yake na hiyo does not mean kuwa anampinga mama. Ni understanding Tu ya wabongo na akili finyu, but he did the right thing at the right time and right situation

. Kwa nchi za nje hiyo ni kawaida sana kutoa maoni huru yenye ku disturb

Nasema tena Spika ni loser na amefanya stupid thing kumuomba Yule mama msamaha. I am sure atajutia.

Halafu Mama aache kujifanya Much know , akivunja Hilo baraza lake ndio anaenda kutengeneza makundi hasa, na ata fail ;

Nadhani ajifunze kwa magu, JPM alijitia mwamba na kupiga watu pini na tumbuatumbua, alifeli na akafa kwa fitna za hao hao aliowaweka.

Mama anatakiwa kuepusha makundi ; baraza jipya sio solution, alifeli Ngosha , yeye hatoweza Abadan !

Ndani tayari kuna mpasuko mkubwa sana, hata hao wanaompamba kwa sasa , wapo against naye in the abstract, system ipo against nae in the abstract, kuna UUNGUJA UBARA NA UJAMHURI NA URAIS , na hii ndio Bongo Darisalama, she needs to learn na adili na hii issue ya mpasuko carefully or else awe ready for consequences .

Ngosha alikuwa anaua kabisa , yet he failed na akafa. CCM ni ngumu kuliko anavoichukulia na Rais hana nguvu in the abstract maana anategemea watendaji

Urais sio lelemama ; ni hekima , busara na uadilifu wa dhati .
 
Back
Top Bottom