W
Ujinga alioufanya ni kuwa upande wa Magufuli na kufuta wapinzani bungeni.
Nakuhakikishia kungelikuwa na walau hata robo ya wabunge wa upinzani angeuwasha moto na huenda hata Rais asingeweza kumnanga hivyo, maana angejua kuwa sasa huko bungeni wapinzani wa chama chake wangeungana na upinzani kuisulubu serikali yake.
kwa tukio hili liwe fundi kwa maspika wanaochekelea kuwa na bunge la chama kimoja maana hata Spika anakuwa hayuko salama.
Maskini Ndugai hakulijua hili au ndo ile wanayosema akili ndogo. Du Acha alinywe sasa.
Spika auwashe moto tuone nani atakua mkali. Akiingia bungeni aweke pembeni swala la chama na bunge afu tuanze mijadala sa
Acheni kumdanganya ataliwa kichwa mapema kwenye halmashauri ya chama ya dharula,Spika auwashe moto tuone nani atakua mkali. Akiingia bungeni aweke pembeni swala la chama na bunge afu tuanze mijadala sasa