Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Mwanamke ni mwanamke tu, radhi kashaombwa lakini bado michambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni udhaifu mkubwa Sana kumshambulia ndugai I'll hali aliomba msamaha.Hii imetumiwa Kama defence,nahisi Kuna Mambo mazito Sana yanafichwa kwenye hi mikopo.ameshambuliwa ili kumpoteza.na kuopoteza hoja yake aliyoibeba.Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni Uhuru wa Mtu kusema chochote, lakini inashangaza Mtu anayetegemewa kushirikiana na Serikali kwenye safari ya maendeleo 'kuargue' kuhusu Tozo na Mkopo wa Trilioni 1.3 kwasababu taarifa zote za Uchumi zinapita kwake akisema, "Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"
Ameongeza, "Huwezi kuamini mtu mzima na unaenda kuargue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3 kama kwamba ndio kwamba inatokea Tanzania wakati toka tunapata Uhuru ni Mikopo kwenda mbele. Na katika Mikopo yote huu ni mkopo mzuri zaidi"
Eti Sasa michambo yoote ya nini.ni udhaifu mkubwa Sana.Anapaswa aheshimu nafasi ya ndugai kama Spika.Mwanamke ni mwanamke tu, radhi kashaombwa lakini bado michambo
Mama leo amepiga kwenye mshono.
Ndugai leo 'kavuliwa nguo' na jana alijisahau 'akavua nguo yake ya ndani', sasa leo hana nguo kabisa!!!
Anasema bunge la kina kasimu😂😁😀Both ndungai na Majaliwa wafanye chap kesho asubuhi watangaze kujiuzulu maana soon wataumbuka.
Kwenye hiyo speech ukifatilia utagundua Samia anawachanganya wote ndugai na majaliwa kwenye hili seke-seke.
Kosa anaenda kulifanya Mama ni kufanya mabadiko na kuwaweka kando anao dai wana stress ya 2025..hili kundi linaenda kukua sana linaenda kupambana kiukweli kuliko hata walivyo kuwa ndani ya serkali..Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni Uhuru wa Mtu kusema chochote, lakini inashangaza Mtu anayetegemewa kushirikiana na Serikali kwenye safari ya maendeleo 'kuargue' kuhusu Tozo na Mkopo wa Trilioni 1.3 kwasababu taarifa zote za Uchumi zinapita kwake akisema, "Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"
Ameongeza, "Huwezi kuamini mtu mzima na unaenda kuargue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3 kama kwamba ndio kwamba inatokea Tanzania wakati toka tunapata Uhuru ni Mikopo kwenda mbele. Na katika Mikopo yote huu ni mkopo mzuri zaidi"
Ndugai ni mnafiki, kaomba msamaha wa kinafki ili kutuliza mambo huku akitafuta wakati mzuri wa kushambulia tena..sasa mama keshamgundua na kaamua hakuna kumpa chance tena huyu mnafiki..ni kumwaga mafuta ya taa shimon na kuwasha kiberiti mpaka nguchiro atoke mwenyewe shimonEti Sasa michambo yoote ya nini.ni udhaifu mkubwa Sana.Anapaswa aheshimu nafasi ya ndugai kama Spika.
Anaendelea vizur anakula ugali wake taratibu. Vip huko kwako, yule mliwa na mafunza anasemaje?!!Hii panic yate ni sababu ya ujumbe ule!
Lkin vipi gaidi anaendeleaje nae?
alafu kama mh. Rais angempongeza Job kwa kuomba msamaha,waweza kuta hapa ungemsifia mh. Rais kwa kuonesha uongozi na ushupavu na umahili mkubwa na maneno kama hayo...Kimsingi amekosa sifa ya kuendelea kuwa kiongozi mkubwa wa kiwango hicho,na anatakiwa asaidiwe kwa kushuka kwenye nafasi hiyo,
Alifanya kosa kubwa kusimama hadharani kuitikisa mamlaka ya urais kitendo ambacho hakijawahi kufanywa na kiongozi yoyote anaejiambua nchini, alifanya Jambo jema Sana kuomba msamaha lakini akafanya kosa jingine kubwa zaidi kutaka kutuaminisha kwamba haikuwa vile Bali watu wa mtandao waliedit,Sasa Kama waliedit anataka msamaha wa Nini?!!,maana yake sisi sote tuliokasirishwa na kitendo chake hicho (akiwemo Mh.Rais wetu ) tunamuonea?! To me an apology is not accepted, it seems Bado anaendelea kutucheza shere watanzania, CCM tunaomba mtafakari Kama huyu mtu anatosha kuwa kiongozi wa watanzania,Hata naye ajipime Kama anatosha.
Hakika mamlaka kuu huwekwa na mwenyezi mungu na asiyethubutu kuamini hili na asubiri kudhalilika tu.
Tumepigwa pale kuna dada yake hadija kopa full mipasho hakuna kiongoziMwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.
Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.
Kwahiyo mnataka nini??
Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.
Mtu ameshaomba radhi.
Yeye bado kashikilia bango.
Poor thinking capacity.
Kaa kwa kutulia, sasa hivi habari ya mjini ni andunje kushikishwa ukuta na bibi ushungi. Sukuma gang hamuamini kuwa Msoga line wamepindua meza. Hizi habari za gaidi fuatilia ww ili zikubebe kwenye mijadala humu ndani. Sasa hivi tunasikilizia kundi la dhalimu likishikishwa ukuta fullstop.
Anasema bunge la kina kasimu[emoji23][emoji16][emoji3]
Anajifanya kuomba msamah kimagumashi ili aachwe ajipange upya na genge lake wakiwa ndani kwa ndani.. vijana wa msoga wameshamshtukia, siasa siasani..msoga ndiko kilipo chuo cha mafunzo ya siasa za kuliana timing za ccm. Atagongwa na kitu kizito kichwan hatoamini.Ndugai muhuni. Hakukiri kosa na kusema eti watu walimdukua. Sasa mama kaushtukia huo uhuni akaamua ampe za uso.
Hahaaaa!!!!nadhan kuna jambo zito laja,halafu Kassim cjamuona leo huenda nae atapigwa na kitu kizito kichwan
Hivi Emmanuel Nchimbi bado yupo ubalozi Brazil au kaitwa arudi nyumbani?
Cna hakika kama amesharud