Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kama ambavyo Ikulu imerudi Dar, na Nchinbi naye yuko hapo Masaki tayariCna hakika kama amesharud
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ambavyo Ikulu imerudi Dar, na Nchinbi naye yuko hapo Masaki tayariCna hakika kama amesharud
Alikuwepo. Kanywea kama ndeziHahaaaa!!!!nadhan kuna jambo zito laja,halafu Kassim cjamuona leo huenda nae atapigwa na kitu kizito kichwan
Magufuli hakukopa?,..Kukopa siyo hiyari ni “lazima“ na “ukikopa“ kuna masharti ambayo ni lazima utimize kuna mengi ambayo yamejificha kama natural resources kuzipendelea Kampuni kutoka nchi zilizotoa fedha mfano sasa hivi Madini yetu ya Cobalt yanahitajika sana kwenye kutengeneza battery za electric cars hiyo ni mifano tu.
Na ndiyo maana Capitalist wanajificha nyuma vitu kama sijui mkopo wa kujenga madarasa na madawati lkn nyuma yake kuna mambo mengi sana.
Magufuli (RIP) alipokuwa anasema ni Vita ya Kiuchumi alimaanisha mambo kama hayo, yeye alikataa, kaingia huyu akafanya 180 degrees turn mara moja wala hakupoteza muda.
Deni la huo mkopo ni lazima lilipwe, sasa Bankers watazipataje fedha zao kutoka nchi masikiki kama yetu? Ndiyo hapo tozo inapokuja, kila mkopo una guarantee, tozo ndiyo guarantee yenyewe.
Thread 'Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?' Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?Rais Samia Suluhu Hassan amesema ni Uhuru wa Mtu kusema chochote, lakini inashangaza Mtu anayetegemewa kushirikiana na Serikali kwenye safari ya maendeleo 'kuargue' kuhusu Tozo na Mkopo wa Trilioni 1.3 kwasababu taarifa zote za Uchumi zinapita kwake akisema, "Ni homa (fever) ya 2025, wasameheni"
Ameongeza, "Huwezi kuamini mtu mzima na unaenda kuargue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3 kama kwamba ndio kwamba inatokea Tanzania wakati toka tunapata Uhuru ni Mikopo kwenda mbele. Na katika Mikopo yote huu ni mkopo mzuri zaidi"
Itakua aliomba msamaha baada ya kutonywa kuhusu mkutano wa leo. Na ndo maana hata hakuhudhuria,,Kwakweli baada ya kuomba msamaha sikutegemea mtu mwingine aje na hii hii agenda...Huu si uungwana...Kama mtu kakosea na ameliona kosa lake ni busara kumwelewa na kusonga mbele
Mjomba hasira unajua inauma mtu unaemuamini halafu anakujakukusaliti na kuongea uwongo ili akuchafue uwonekane ufahi kwenywe jamii hivi kama yule mjinga pole pole kusema serikali hii ni ya mpito nawewe ndie boss wake utamchukuliaje kwa ufupi waache dharauMwanzoni kabisa niliwasikia watu wakisema bunge ni dhaifu.
Spika kaongea kidogo tu watu wamemvaa tena.
Kwahiyo mnataka nini??
Halafu suala la Rais wa nchi kuendelea na hili suala la mikopo ni ufinyu wa akili.
Mtu ameshaomba radhi.
Yeye bado kashikilia bango.
Poor thinking capacity.
Nakumbuka siku kinana anaomba msamaha,, lakini spana zikaendelea za akina musiba[emoji851][emoji851]Mwambie Mama yako Samia kuwa hili suala lilishaisha na amechochoea na kuliamsha
Kama mtu ameomba radhi kwa kile kinachodaiwa kuwa ni ukosefu, basi jibu huwa ni moja tu kwa watu wenye maturity
You either not speak of it anymore au unasema tu ,Ndungai , Apology accepted !
Hiyo ndio maturity ya Akili kubwa; sio mambo ya kuchambana kama tupo kwenye Singeli la zuchu
[emoji3][emoji3]Thread 'Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?' Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?
Hivi huwa mnadhani nani atatuletea katiba?.Ninajua umuhimu wa katiba mpya,ila leo kupitia hotuba ya mh..nimeona zaidi umhimu huo wa katiba mpya
Nimesikiliza taarifa ya habari ya leo saa mbili usiku,nikasikia mahakama Nchini kenya imezuia agizo la serikali kuwa chanjo kuwa lamiza kwa kila mwananchi...nikatafakari kwahuku kwetu na katiba yetu hii,angeagiza mh. Rais kuwa chanjo ni lazima,alafu jambo lipelekwe mahakamani,ni nani huko Manama man I angekubali kukataa maagizo ya mh wakati kaona mhimili mwingine ulivofokewa leo?
kumbe katiba mpya ni mhimu itakayoweka utaratibu wa wakuu wa mihimili kupatikana bila kumhusisha Rais au ahusike kidogo sana na asiwe na nguvu yoyote dhidi yao baada ya wao kupatikana
Nimepiahana polisi kaenda kuchonga lifimbo la kumpugia eti!!Mliopo hapo Waswanu,huyo andunje hajanywa sumu bado!?
Kumwamini mwanakijani ni sawa na kuamini maji kupanda mlima "naturally".Kuna mtu atakopa aseme mkopo huu mbaya? Yeye kakopa lazima aseme katika mikopo yote mkopo huu wa tri 1.3 ndiyo mzuri zaidi.
Ajabu Sana. Anakopa na tozo juuKumwamini mwanakijani ni sawa na kuamini maji kupanda mlima "naturally".
Jiwe alisema "tunajenga kwa pesa yetu ya ndani" huku Chief Hang Higher akisisitiza kwa kutikisa kichwa.
Leo anakiri ni mikopo kwenda mbele.
MmmmmmhKale katimu kanazidi kudidimizwa kaburini kwa mwendazake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hayo ndio matokeo ya kugombana na wanawake ndugai atakoma atachambwa hadi achubuke
Ukweli mtupu huu.Serikali yake ituambie pesa za makusanyo ya tozo zinakwenda wapi mbona siku hizi hakuna update zozote?
Kwenye hii issue yake na Ndugai kwangu Ndugai ndie mshindi, yeye anafurahia ushindi anaodhani ameupata kwasababu tu kuna kundi kubwa la wanafiki nyuma yake wanaojali matumbo yao wako upande wake kwasababu ya mamlaka aliyonayo kama mkuu wa nchi, lakini hajashinda kwa nguvu ya hoja.