Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Mjinga ndo anazidi kuharibuuuu


Huyu hata akisimamishwa mwenyewe na Kimvuli.


Asubuh haiishi, Kimvuli kimeshinda.


Hili lmtu, litegemee tu Polisi.
Huna akili wewe. Kwa Taarifa yako ni kuwa hakuna mwenye ubavu wa kumshinda Rais samia katika sanduku la kura. Hata CCM isipopiga Kampeni bado itapita kwa kishindo
 
Kama unaitaka amani huwezi shabikia uvunjifu wa amani kwa maslah ya chama fulan au kikundi cha watu flana lbda uwe mwenda wazimu, wewe kati wale waliokaandaman dar ul
Hujui unachozungumzia, Mtu mwenye Akili timamu hawezi kuunga mkono uvunjifu wa aman kwa sababu ya chama fulan au kikundi fulan cha watu wanaojali maslah yao chini ya kuvuli cha uzalendo, vp yale maandamano ya kwanza ulikuwepo?
 
Huyo mpaka baba mtakatifu alishamkataa huko Vatican. Hakuna alichobakiza duniani wala mbinguni.
Baba mtakatifu ana athari gani Mbinguni na Duniani?
Acheni kujidanganya wakuu 😝😝,tunawapa binadamu uwezo ambao hawana
 
Ni kama ukurasa Mpya wa Siasa umefunguliwa

Hawa akina Mwabukusi hawana hofu ya kunyimwa Ruzuku kama walivyo ACT Wazalendo

Jimmy Kerry, Jimmy Brown and Fred Williamson

Mlale Unono πŸ˜€πŸ˜€
 
πŸ˜†πŸ˜† Hivi mtu anayelala njaa na hajui kesho atakula nini unaweza kusema ana amani?!
Kwani Chadema na TEC si wapo Kwanini wasimpe chakula hadi alale na njaa? Hizo fikra za watu wavivu usijidanganye eti siku wapinzani wakishika dola watakuletea ugali nyumban kwako umelala tu, hakuna hiyo kitu ngosha hata huko ulaya mtu anaamka anaenda kusotea kula yake , shukuru mungu kupata huo muda wa kuendasha hiyo bodaboda yako unasaka tonge kuna nchi hata hiyo nafasi ya kuendesha boda hawapati.
 
Hata kama ni uchawa, wangejaribu kutafuta wenye uafadhali kiakili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…