Huyu SSH ni katili sana, Ndugai aliomba msahama, akatimuliwa.kizazi cha sasa kina uwezo mdogo sana wa kufikiri mambo.....
Dr slaa amekuwa wazi kwenye misimamo yake tangu enzi na enzi.... na ni mtu anaetetea maslahi ya taifa..
kuvuliwa hadhi ya ubalizi kwake hakuwezi kumyumbisha....
Dr Slaa ameongea kutetea maslahi ya Tanzania. Kwanza akapewa kesi ha uhaini, pili amevuliwa ubalozi? Tatu...?