Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

kizazi cha sasa kina uwezo mdogo sana wa kufikiri mambo.....

Dr slaa amekuwa wazi kwenye misimamo yake tangu enzi na enzi.... na ni mtu anaetetea maslahi ya taifa..
kuvuliwa hadhi ya ubalizi kwake hakuwezi kumyumbisha....
Huyu SSH ni katili sana, Ndugai aliomba msahama, akatimuliwa.

Dr Slaa ameongea kutetea maslahi ya Tanzania. Kwanza akapewa kesi ha uhaini, pili amevuliwa ubalozi? Tatu...?
 
Samia anajifanya mtu wa dini, mpenda maridhiano nk, kumbe ana vinyongo na visasi moyoni
Kwa hiyo kwa akili yako unafikiri kuna mwenye akili Timamu anayeweza kuvumilia maneno na matendo ya kihaini ya Dr Slaa? Yaani mtu atamke maneno ya hatari kwa usalama wa Taifa halafu achekewe tu?
 
Dk Slaa hajavuliwa chechote kile. Ina maana hakuna walichompunguzia zaidi ya waliofanya hayo kujipunguzia[kajiparua].

Hakika Dk. Slaa ndiyo kwanza amesimikwa Ushujaa, Ubaba wa Uzalendo. Ubaba wa Taifa jipya la Tanganyika.

Aluta Continua
 
Huyu mama abdul atakwama tu kanda ya ziwa, CCM kazi mnayo 2025, mtaibaaa wee ila safari hiiiiiii safari kurahii haziibiki....

Kanda ya Ziwa, chimbuko la mabadiliko.
Hakuna mahali ambako mh Rais samia hakubaliki. Anakubalika na kupendwa kila kona ya Taifa letu.kutokana na uchapa kazi wake pamoja na kupeleka maendeleo kila eneo pasipo upendeleo wala ubaguzi wa aina yoyote ile.
 
Kwa Mwendo huu.....2025 itatufikia Salama Wa Tz...?

Huwa tunaambiwa tu kuwa Deni La Taifa ni 'Himilivu'... Lugha ngumu sana.. Sisi Tunavumilia

Sasa nimeanza kuona kbs Uhimilivu Wa Taasisi Kubwa Ya Uraisi 'unakata Pumzi'.....!

Eti.....Raisi Wetu huyu huyu KAMVUA Hadhi ya UBALOZI DKT. Slaa ..!
Uhimilivu na Ustahimilivu Umeshindikana..?

Hoja zinazotolewa bado hazijapata majibu...!

Lkn 'R' moja(Kati ya R nne alizozisema Raisi) imeshindikana??...Resilience
Uvumilivu Umeshindikanaje.....?

Watz Wanahitaji Ufafanuzi tu....!
 
Hakuna mahali ambako mh Rais samia hakubaliki. Anakubalika na kupendwa kila kona ya Taifa letu.kutokana na uchapa kazi wake pamoja na kupeleka maendeleo kila eneo pasipo upendeleo wala ubaguzi wa aina yoyote ile.
Hivi unaweza kumlinganidha Dr Slaa na Tundu Lissu au freeman Mbowe na CHADEMA kwa ujumla jinsi ambavyo wanauchambua mkataba wa bandari ktk namna ya kuidhalilisha na kuivua nguo serikali?

Kwenye hili, Dr Slaa ni cha mtoto. Na kwani kumvua hadhi ya ubalozi ndiyo mmekata ulimi wake kwamba hataongea tena?
 
mimi nadhani kwakua tuko bize na sherehe maswala ya mavazi ya ubalozi yapite kushoto tuendelee kujenga nchi, itifaki imezingatiwa yabonga.
 
😂😂😂 mtu anakwambia Upadre unavuliwa.
Daraja takatifu linavuliwa? na nani?
Hiyo ni alama ya milele, haitoki mpaka kufa.
Acha kunajisi kanisa katoliki wewe. Slaa kaishi na mushumbusi mpaka na watoto wamezaa ni wapi kanisa linabariki mapadre wazae na wanawake?
 
Back
Top Bottom