Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023.
Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter...
Kwa tabia yake ya Kifitina fitina alitakiwa avuliwe ubalozi siku nyingi.Hii imechelewa.Ndiye huyuhuyu miaka ya nyuma alishawahi kusema atahakikisha nchi haitawaliki.He is as good as useless.
 
Dk Slaa hajavuliwa chechote kile. Ina maana hakuna walichompunguzia zaidi ya waliofanya hayo kujipunguzia[kajiparua].

Hakika Dk. Slaa....
Ndio kwanza amesimikwa Ushujaa, Ubaba wa Uzalendo. Ubaba wa Taifa jipya la Tanganyika.

Aluta Continua
 
Angurume kwa adabu na heshima.Akinguruma bila nidhamu ajue hii ni nchi,siyo Kigango.
 
Hakuna mahali ambako mh Rais samia hakubaliki. Anakubalika na kupendwa kila kona ya Taifa letu.kutokana na uchapa kazi wake pamoja na kupeleka maendeleo kila eneo pasipo upendeleo wala ubaguzi wa aina yoyote ile.
Kuna kitu au jambo linakuhusu.

Kawaida, mtu yeyote hawezi kujitoa akili kiasi cha wewe unavyofanya kila siku humu. Ikiwa hivyo, huo unakuwa ni uenda wazimu.

Hebu siku moja moja, kila akili itakapokuwa inaruhusu, uwe angalau unatupia vitakwimu, hata kama ni vya kuokoteza jalalani vinavyounga mkono haya yote unayoyatangaza humu kila siku.
 
Uzuri, Wananchi wanauwezo, nguvu, nia na dhamira ya Kuwavua madaraka yote CCM na Vibaraka wake.

No to DPW
No to Waarabu
No to CCM

Ahsante kwa Nguvu mpya.
 
Mtu kama huyu aliyevuliwa ubalozi akisimama agombee urais na mgombea wa ccm anaibuka mshindi asubuhi tu. Ubalozi si lolote na si chochote kwa mpigania maslahi ya taifa
Kama ubalozi si lolote wala chochote mnalialia nini hapa?
 
DP world imeleta mkorogano ndani ya nchi na serikali ya bi hadija......tungekuwa tunaenda mbinguni na ubalozi ningemsikitikia Dr. Slaa, kwa sababu ubalozi siyo tiketi ya kwenda mbinguni sioni shida yoyote akivuliwa.
 
Umeongea kwa uchungu sana!

Huyu mtu ni bure kabisa! Hivi hajifunzi yanayotokea Gabon?
Hahahahaa leo hujaangalia taarifa ya habari. Mkuu wa brigade ya Tembo ( kusini) alichosema? JWTZ lina wajibu wa kuilinda na kuitetea katiba ya nchi. Hutaki tafuta nchi ya kuhamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…