Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kama wafuasi wake ndio nyie basi kala hasara dr. Mihogo kakataliwa kuanzia duniani mpaka mbinguni.Kilichobaki ni Dr kukuvua chupi wewe na famlia yako na na wana ccm wote awapige mashine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wafuasi wake ndio nyie basi kala hasara dr. Mihogo kakataliwa kuanzia duniani mpaka mbinguni.Kilichobaki ni Dr kukuvua chupi wewe na famlia yako na na wana ccm wote awapige mashine
Kwa tabia yake ya Kifitina fitina alitakiwa avuliwe ubalozi siku nyingi.Hii imechelewa.Ndiye huyuhuyu miaka ya nyuma alishawahi kusema atahakikisha nchi haitawaliki.He is as good as useless.DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023.
Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter...
UnajielewaHii imeknyesha serikali ya Dr Samia ni ya hivyo..wangemuachia ubalozi wake ingekuwa na manufaa Kwa upande wako kuliko walivyomuvua
Mnalialia nini kwani alizaliwa kuwa balozi?Yaaani ni utoto kupitiliza,Without thinking...
Hata Kama wanat1wa Basi utaunga tela pia ama nimekusoma vibayaWhen your in rome do as Roman do.
Kuna kitu au jambo linakuhusu.Hakuna mahali ambako mh Rais samia hakubaliki. Anakubalika na kupendwa kila kona ya Taifa letu.kutokana na uchapa kazi wake pamoja na kupeleka maendeleo kila eneo pasipo upendeleo wala ubaguzi wa aina yoyote ile.
Kama siyo mkatoliki huwezi kunielewa .Baba mtakatifu ana athari gani Mbinguni na Duniani?
Acheni kujidanganya wakuu 😝😝,tunawapa binadamu uwezo ambao hawana
Kama ubalozi si lolote wala chochote mnalialia nini hapa?Mtu kama huyu aliyevuliwa ubalozi akisimama agombee urais na mgombea wa ccm anaibuka mshindi asubuhi tu. Ubalozi si lolote na si chochote kwa mpigania maslahi ya taifa
wapi umeona tunalia?Kama ubalozi si lolote wala chochote mnalialia nini hapa?
Sasa kinachowauma ni nini?Ipo siku sema samehe saba mara sabini. Dkt Samia pamoja tunamtetea ila kuna dunia yake pekee yake anaishi kwa sasa. Sisi kama chawa hatutamuacha ila ajue ipo siku...
Mnalalamika nini hapa.?pumbavuwapi umeona tunalia?
Hahahahaa leo hujaangalia taarifa ya habari. Mkuu wa brigade ya Tembo ( kusini) alichosema? JWTZ lina wajibu wa kuilinda na kuitetea katiba ya nchi. Hutaki tafuta nchi ya kuhamia.Umeongea kwa uchungu sana!
Huyu mtu ni bure kabisa! Hivi hajifunzi yanayotokea Gabon?
Kuna maneno aliyazumgumza labda aseme alikua ana maana gani.Uhaini wa Slaa ni kukosoa hiyo IGA?...
Ukweli usemwe Madam president amechemka.Yani amenifanya nijue kuwa Dr Slaa ni mbobezi na mahiri wa lugha