Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Magufuli alivyokuwa anatumia mabavu muda mwingine, si ajabu alikuwa anamuona mjinga[emoji23][emoji1787]
Akasema yeye hatatumia mabavu,ni mtu wa maridhiano


Unadhani uvumilivu mchezo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Labda uvae ngozi ya chui.
 
Umesahau kuweka namba yako ya simu komredi Mwashambwa [emoji16]
 
Km walimvisha basi ni haki yao kumvua kwani walichomvisha kilikuwa ni chao na ni haki yao kukichukua.
Ila hawawezi kumvua fikra zake na uzalendo wake kwenye nchi hii
Mama Abduly ni dicteta mbaya zaidi.

Ni heri ukutane na mwanaume mchawi kuliko mwanamke mchawi!
 
Mzee wa kuvuliwa
-Upadri
-Unachama CCM
-Unachama CDM
-Ndoa
-Ubalozi

To be continued...
 
Usaliti ulio onyeshwa na mzee Slaa dhidi ya Chadema wakati wa awamu ya tano sio wa kusamehewa hata kidogo.

Slaa kipindi cha jpm aligeuka kuwa nyoka mwenye sumu kali dhidi ya viongozi wa chadema na ikapelekea viongozi hao kuwa kwenye wakati mgumu haijawahi kutokea!!

Slaa alipaswa awe adui namba moja wa chadema.
 
Nashangaa kwanini Chadema wanashangilia Dr silaa kuvuliwa ubalozi
Dr. Slaa na yule Le'professor ni wasariti mithili ya Yuda walinunuliwa kwa vipande thenashara vya fedha wakatumika kuharibu upinzani lakini leo hii hawana thamani tena ni kama makapi ya ngano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…