Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,416
- 16,603
Mpende wewe kwani umezuiwa?Kwahiyo unamchukia kwa sababu naandaa documentary? Mpo wengi wa hivi acheni hizo.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpende wewe kwani umezuiwa?Kwahiyo unamchukia kwa sababu naandaa documentary? Mpo wengi wa hivi acheni hizo.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ndio nampenda sana nyie kama mna hasira nae sana hameni nchi .mwendo ni huu huu mpaka 2030Mpende wewe kwani umezuiwa?
Nchi hatuhami na akiboronga tutamsema huyo bi mkora wenu. Apendwe na watu wote amekua hela?Ndio nampenda sana nyie kama mna hasira nae sana hameni nchi .mwendo ni huu huu mpaka 2030
AmekaririshwaHahahaha niliwambie Rais huwa anapenda neno uhuru na haki za binadamu lakini kiukweli pengine huwa hayaelewi maana yake….
Ukitaka kujua haelewi maana ya hayo maneno wewe angalia matendo hasa hili la Dr Slaa!
Basi ujue kuwa Slaa atarudi na wadhifa kubwa kuliko.Ndio nampenda sana nyie kama mna hasira nae sana hameni nchi .mwendo ni huu huu mpaka 2030
Time will tell hadi lini?Basi ujue kuwa Slaa atarudi na wadhifa kubwa kuliko.
Time will Tell
Asubiri Rais samia amalize kipindi chake 2030 na yeye agombee awe raisBasi ujue kuwa Slaa atarudi na wadhifa kubwa kuliko.
Time will Tell
Umesahau kuweka namba yako ya simu komredi Mwashambwa [emoji16]Kwa Hakika mh Rais amefanya jambo lililokonga na kukosha mioyo ya watanzania,Ameziteka nyoyo za watanzania ndani ya muda mfupi sana,amefanya jambo la kipekee ,la kijasiri na kishujaa sanaa. Niliandika humu kuwa Dr Slaa Hastahili Kuendelea kuwa kupewa heshima ya ubalozi.hakustahili kabisa kuwa nawadhifa huo mpaka muda huo. Safi sana Mh Rais,hongera sana mama yangu kwa hatua hii ya kishujaa na kijasiri inayoendelea kuungwa mkono na wengi.
You are a lawyer, aren't you?you are in Rome
your(sic) in rome X
🤣🤣 kumbe mtamsema tu haya endeleeni kusemaNchi hatuhami na akiboronga tutamsema huyo bi mkora wenu. Apendwe na watu wote amekua hela?
"sick" ni mgonjwaYou are a lawyer, aren't you?
Ref. to the very terminology of rectifying errors i.e 'sick'
Unajichekesha km chokoChadema mkaribisheni 🤣🤣
Usaliti ulio onyeshwa na mzee Slaa dhidi ya Chadema wakati wa awamu ya tano sio wa kusamehewa hata kidogo.Tujifunze kuheshimu maamuzi ya watu.
Nafikiri Slaa alifanya maamuzi sahihi kuliko hata Mbowe.
Angewezaje kukaa meza moja na Lowasa ambaye yeye alimtaja kuwa ni fisadi na eti anapewa ridhaa ya kugombea uraisi kupitia Chadema?
Slaa pekee ndiye alisimamia maneno yake aliyoyatamka
Dr. Slaa na yule Le'professor ni wasariti mithili ya Yuda walinunuliwa kwa vipande thenashara vya fedha wakatumika kuharibu upinzani lakini leo hii hawana thamani tena ni kama makapi ya ngano!Nashangaa kwanini Chadema wanashangilia Dr silaa kuvuliwa ubalozi
Kuvuliwa nguoUpadri kavuliwa.
Ubalozi kavuliwa
Imebaki nini???