Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Vipi mkuu jamaa kakukosea nini huyu?
Au ulimkuta chumbani kwa mamako kajifunga taulo la mdingi wako?
 
Kwahiyo nikiwa kwenye media let say nikamu address kama Balozi dkt Slaa ni kosa kisheria? Consequence zake ni zipi?
 
Katika hili huyu mzee anastahili kuvuna alichopanda!
 
Mbona slaa anavuliwa kila kitu?
1. Walimvua upadri
2. Wakamvua ukatibu mkuu chadema
3. Wakamvua ubunge
4. Wakamvua Josephine kule Canada
5.Leo wamemvua ubalozi
6. Kitu gani kimebaki tumvue?
Nguo
 
Kwani Huwa sababu inaelezwa kavuliwa kwa kanuni ipi,au ndo Yale ya chuki zetu waswahili
 
Nadhan bwana yule kanisa lao lilikuwa moko
 
Mbona haongozi misa na kutoa huduma za kiroho kama bado ni padre. Au padre wa mchongo
Bro ndio maana nakuambia hujui taratibu wa kanisa. One's umekuwa padre imepita hiyo. Yule katoka altaren lakin kanisa linamtambua ni Padre na sehem yoyote yenye imejens ikimkuta anaendesha ibada kama kawaida.
 
Tunataka tujue sababu za Dr Slaa kuvuliwa hadhi ya ubalozi sio hizi blah blah wanazoleta humu chawa wa mama Abduly.
Je ni kugoma kwake hadharani bandari kugaiwa bure kwa mwarabu?
Km ndivyo umaarufu wa Dd Slaa umeongezeka maradufu.
Wengi tupo upande wake
 
Kwa hiyo kwa akili yako unafikiri kuna mwenye akili Timamu anayeweza kuvumilia maneno na matendo ya kihaini ya Dr Slaa? Yaani mtu atamke maneno ya hatari kwa usalama wa Taifa halafu achekewe tu?
Haini ni yeye anayeuza maliasili za Tanganyika kinyemela kwa wajomba zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…