Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kyupi[emoji38]Alianza kuvuliwa upadri. Sasa kavuliwa ubalozi. Kitakachofuata kumvua ni nini?
Chedema wasimpokee kabisa huyu mzee haaminiki kivile [emoji848]
Tena bila hata mabaunsa kama wa msanii "Dawimondu"Usinikumbushe vile kina Samia na Ruto walivyozungushwa ndani ya yutong huko London walipoenda kumzika Eliza [emoji23][emoji23]
Vipi mkuu jamaa kakukosea nini huyu?Wewe akili yako hua inawaza upumbavu wa mambo ya kishirikina tu,chakusikitisha kuna wapuuzi hua wanakuona wa maana kwa kujaza issue za mambo yakusadikika humu,Dunia inaenda kwa kasi sana kwenye teknolojia ila wewe akili yako iliishia kuwaza upuuzi wa ushirikina tu.
Katika hili huyu mzee anastahili kuvuna alichopanda!Nisiwe mnafiki!
Binafsi siiafiki ishu ya bandari na DPW. Ila nafurahia sana uamuzi wa Rais kumvua hadhi Dr Slaa. Huyu ni msaliti wa hali ya juu. Aliisaliti Chadema kipindi ambacho ilikuwa inahitaji nguvu ya pamoja ya kila mtu. Akakimbia na kuanza kuitukana Chadema. Alikuwa na nyodo sana. Akasema, hapendi wanaosema Mbowe sio Gaidi. Akasema, suala la Lissu kupigwa risasi ni jambo la kawaida kabisa.
Werawera Samiaaaaah!!! Acha aumbuke
NguoMbona slaa anavuliwa kila kitu?
1. Walimvua upadri
2. Wakamvua ukatibu mkuu chadema
3. Wakamvua ubunge
4. Wakamvua Josephine kule Canada
5.Leo wamemvua ubalozi
6. Kitu gani kimebaki tumvue?
Mbowe kutoka jela straight to ikulu, maridhiano ilimaanisha nini?Kuvuliwa nguo
Hahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata kuruta anmkwida mkanda
Nadhan bwana yule kanisa lao lilikuwa mokoUsaliti ulio onyeshwa na mzee Slaa dhidi ya Chadema wakati wa awamu ya tano sio wa kusamehewa hata kidogo.
Slaa kipindi cha jpm aligeuka kuwa nyoka mwenye sumu kali dhidi ya viongozi wa chadema na ikapelekea viongozi hao kuwa kwenye wakati mgumu haijawahi kutokea!!
Slaa alipaswa awe adui namba moja wa chadema.
PichuKyupi[emoji38]
😂😂Tena bila hata mabaunsa kama wa msanii "Dawimondu"
Bro ndio maana nakuambia hujui taratibu wa kanisa. One's umekuwa padre imepita hiyo. Yule katoka altaren lakin kanisa linamtambua ni Padre na sehem yoyote yenye imejens ikimkuta anaendesha ibada kama kawaida.Mbona haongozi misa na kutoa huduma za kiroho kama bado ni padre. Au padre wa mchongo
Wewe ni mke wa huyo jamaa? Ndio hua anakutatua malinda? Naona imekuuma sana.Vipi mkuu jamaa kakukosea nini huyu?
Au ulimkuta chumbani kwa mamako kajifunga taulo la mdingi wako?
Haini ni yeye anayeuza maliasili za Tanganyika kinyemela kwa wajomba zakeKwa hiyo kwa akili yako unafikiri kuna mwenye akili Timamu anayeweza kuvumilia maneno na matendo ya kihaini ya Dr Slaa? Yaani mtu atamke maneno ya hatari kwa usalama wa Taifa halafu achekewe tu?
Wanashangilia wapi .kwenye swala la bandar hakuna asiemsapport huyuNashangaa kwanini Chadema wanashangilia Dr silaa kuvuliwa ubalozi