Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Upadri kavuliwa.
Ubalozi kavuliwa
Imebaki nini???
 
Oparesheni imeeanza Vua gwanda Vaa gamba la kijani # kazi iendelee
 
Safi,Hongera Mh Rais Hatuwezi Kuwaweka Kwenye Mamlaka Watu Wanao Hamasisha Uvunjifu wa Amani Kwa Maslahi Yao Binafsi Hali ya Kuwa Atakaeteseka Ni Mwananchi Maskini Asie Na Pesa Ya Kukimbia Nchi Wakati Wa Machafuko.
 
DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023.
Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter.

Dkt Slaa alipewa hadhi hiyo mwaka 2017.

View attachment 2735976
"Hadhi ya Ubalozi"?

Hiyo ni kitu gani ukilinganisha na "Hadhi ya Kupambania nchi"?

Kwa hiyo hii ndiyo njia inayowanyamazisha wajaza matumbo kama akina Kabudi na wengine wengi wasivuliewe "Hadhi"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…