Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Ila hii wala sio habari kubwa kwa sasa. Ilitarajiwa siku nyingi sana kuwa itakuwa hivyo. Mjadala wa bandari ni muhimu zaidi kuliko hadhi ya kitu chochote. Tuendelee kujadili!
Kwa mdomo wake alitamka na kutabiri haya yanayoendelea muda huu
 
DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023.
Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter.

Hayati Rais John Pombe Magufuli alimteua Dkt. Willibroad Slaa ambaya ni Katibu Mkuu wa zamani wa chama cha Upinzani, CHADEMA kuwa Balozi mnamo Novemba 23, 2017

View attachment 2735976
Lakini bado Maswali kuhusu bandari yataendelea kuulizwa na atatakiwa kuyajibu! Tuliwambia kuwa huyu Rais awezi kustahimili vishindo kama anayojigamba hahahahahah kiko wapi? Sasa ubalozi ulikuwa unamsaidia nini Dk Slaa? 🤣 😂😂😂

Maswali na hoja za bandari zikijibiwa vyema wala ubalozi wa mtu hautokuwa kikwazo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tuna mtu mjinga ajabu ,haijapata kutokea.

Watu wajinga Huwa wanavisasi vya kipuuuzi!!.


Anaacha majizi ya Report ya CAG, analeta ushambenga wa kizanzibar Kwa mtanganyika anayetetea MASILAHI ya Nchi??.


Kumbe ndo anayewatuma wapuuzi kumfutia Leseninya Uwakili Msomi Mwabukusi??.


Ayayayaya tunaongozwa na mtu Mjingaaaaa alafu mswahiliiiiiiii.


Ni Tanzania pekee, Mjinga anaongoza Mwerevu.
 
Back
Top Bottom