Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023.
Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter.

Hayati Rais John Pombe Magufuli alimteua Dkt. Willibroad Slaa ambaya ni Katibu Mkuu wa zamani wa chama cha Upinzani, CHADEMA kuwa Balozi mnamo Novemba 23, 2017

Julai 22, Dkt. Slaa aliizungumza na Wananchi kupitia vyombo vya habari akisema ni kwa ajili ya kuelimisha wananchi kuhusu kasoro zilizopo kwenye mkataba wa uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam.

Aliweka wazi kuwa hapingi uwekezaji katika bandari hiyo ya Dar es Salaam bali anapinga mkataba wa uwekezaji kwa kueleza kuwa hauna maslahi kwa Taifa.

Aidha, siku alisema kuwa “Najua maneno hayo ni makali… nimepokea vitisho na mimi pia sio tu Mawakili, wengine wakasema ubalozi wako tutachukua, nawaambia chukueni sasa hivi, siishi kwa ajili ya ubalozi. Nimesema sina chama najiamini najau ninachosimamia“

View attachment 2735983

=====
WILLIBROD PETER SLAA NI NANI?
View attachment 2735984
Dk Slaa alizaliwa Oktoba 29, mwaka 1948 wilayani Karatu. Alipata elimu ya msingi katika shule za Karatu na Kwermusi (Mbulu) kati ya mwaka 1958 na 1965.

Alisoma elimu ya sekondari katika Shule za Dung’unyi Seminari na Itega Seminari kati ya mwaka 1966 na 1971.

Ni kiongozi mwenye stashahada tatu pamoja na shahada ya Uzamivu (PhD). Anayo Shahada ya Uzamivu (PhD ) katika Sheria ya kanisa kutoka Chuo Kikuu cha St. Urban, Rome. Pia anastashahada ya Theolojia kutoka Kipalapala Seminari, Stashahada ya falsafa kutoka Kibosho Seminari, Stashahada ya Afya ya Macho kutoka Kituo cha Kimataifa cha Macho.

Amewahi kuwa padri wa Kanisa Katoliki kuanzia mwaka 1977 hadi 1991, akishika nafasi za kiutawala katika kanisa pia. Amepata kuandika vitabu vitatu ambavyo ni Utimilifu wa Msichana (1977), Utimilifu wa Mvulana (1977) na Expediency and exigency Liturgical Legislation (1981).

Ni mzungumzaji wa Lugha nane kwa ufasaha; ambazo ni Kiswahili, Kiingereza, Kilatini, Kiitaliano, Kijerumani, Kihispania, Kireno na Kifaransa.
Siku ya Alhamisi, Novemba 23, 2017 Aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alimteua Katibu Mkuu wa zamani wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kuwa balozi. Alikuwa Balozi wa Sweden, pia ailiidhinishwa kwa Nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Ukraine na Lithuania.

Kipindi Dk Slaa anateuliwa kuwa Balozi, alikuwa anaishi Canada, alitangaza kuachana na siasa kutokana na kutofautiana na chama chake katika kumpokea Edward Lowassa aliyehama kutoka CCM na baadaye kumpitisha kuwa mgombea urais kupitia muungano wa vyama vya siasa wa Ukawa.

Pia, soma: Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!
Am so happy,
F**k the old man,alichotufanyia 2020 ***** sitasahau ***** zake
 
Mtu kama huyu aliyevuliwa ubalozi akisimama agombee urais na mgombea wa ccm anaibuka mshindi asubuhi tu. Ubalozi si lolote na si chochote kwa mpigania maslahi ya taifa
 
Rais wa Visasi, Ndugai, Dr Slaa, Mwambukusi uhaini, Luvuvi, Kabudi, Polepole, Kalemani all on benchi, roho mbaya.
 
Ni kawaida ya ccm kuwatumia watu kama toilet paper! Kifuatacho hapo ni kukamatwa na kupandishwa kizimbani kwa mashtaka ya uchochezi
Wamfunge tu huyu Malaya wa kisiasa,***** zake alituuza 2020,mazafaka zake
 
Mtu kama huyu aliyevuliwa ubalozi akisimama agombee urais na mgombea wa ccm anaibuka mshindi asubuhi tu. Ubalozi si lolote na si chochote kwa mpigania maslahi ya taifa
Dr Slaa Ni mpigania Tumbo lake na siyo maslahi ya Taifa,ndio maana alikuwa anataka kuleta machafuko nchini ili akimbilie nje ya nchi.
 
Wee jamaa falaaa.

Sa100 hapati hata kura yako, yaan hata wewe mwenyewe huwezi kumpa.

Mbele ya Jamii, mnajitia Upumbavu ili mpate Teuzi.
Nitampa kura yangu kama ambavyo mamilioni ya watanzania walivyojiandaa kumpigia kura za ndio kwa kishindoo,ili aendelee kusalia madarakani na kuendelea na kazi aliyoianza ya kuwatumikia watanzania
 
kizazi cha sasa kina uwezo mdogo sana wa kufikiri mambo.....

Dr slaa amekuwa wazi kwenye misimamo yake tangu enzi na enzi.... na ni mtu anaetetea maslahi ya taifa..
kuvuliwa hadhi ya ubalizi kwake hakuwezi kumyumbisha....
 
Mzee ashikilie hapohapo
Heshima atakayoijenga kwa jamii ni kubwa sana kuliko hiyo ya ubalozi.
Haamini kwa mtanzania yeyote yule mwenye akili Timamu na mwenye kujitambua,maana kila mtu anafahamu kuwa Slaa ni msaliti na mchumia Tumbo tu
 
Hujui unachozungumzia, Mtu mwenye Akili timamu hawezi kuunga mkono uvunjifu wa aman kwa sababu ya chama fulan au kikundi fulan cha watu wanaojali maslah yao chini ya kuvuli cha uzalendo, vp yale maandamano ya kwanza ulikuwepo?
Pahala panapofanyika dhuluma kamwe hapawezi kuwa na amani.
 
Dr Slaa Ni mpigania Tumbo lake na siyo maslahi ya Taifa,ndio maana alikuwa anataka kuleta machafuko nchini ili akimbilie nje ya nchi.
Machafuko yapi??

Kwa Sasa Kuna tatizo la Umeme, na mgao wa maji.

Wewe kama MwanaCCM kindakindaki usiye na akili.

Embu ishauri Serikali ifanye nn, kuhakikisha suala la maji na Umeme, vinakua ni hadithi?.

Kama Suala la hizi sheria za KIJIZI zilokua zimeletwa bungeni, baada ya Mwabukusi na Watanzania makini kusimama, Serikali inajirudi nyuma... Una maoni gani kuhusu hili??.
 
Back
Top Bottom