fidel castro wapili
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 3,497
- 2,911
Vyeo ni vyakubaki hapahapaVyeo vina ukomo.
Hata Qeen alizikwa kama Elizabeth.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyeo ni vyakubaki hapahapaVyeo vina ukomo.
Hata Qeen alizikwa kama Elizabeth.
Kwa nini unashangaa??Nashangaa kwanini Chadema wanashangilia Dr silaa kuvuliwa ubalozi
You are/romans - ulimaanisha?When your in rome do as Roman do.
Diplomatic Passport mkuu - hukaguliwi - hukamatwiKwani hiyo hadhi pek yake inaleta ugali mezani??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata kuruta anmkwida mkandaYah inaleta zaid ya ugali sababu anapewa huduma zote za ki vip iwe ndani au nje ya tz na ilikuwa ana passport ya diplomat but now mkavu tu hata kuruta anamkwida mkanda
Hivi kumbe ndio mmiliki?CCBRT itafutiwa usajili very soon
Hahaahahaaha sijasema hivyo! Ila subiri uone, Kuna watu Wana visasi balaaHivi kumbe ndio mmiliki?
Bora atulie nyumbani kwake aachane na siasa, alee wajukuu.Upadri kavuliwa.
Ubalozi kavuliwa
Imebaki nini???
Wapinzani woteMda si mrefu mbowe naye ile kesi yake itshuishwa mda si mrefu
Hakuna hilo katu!CCBRT itafutiwa usajili very soon
you are in RomeWhen your in rome do as Roman do.
Tuntemeke wa KaskaziniNi mzungumzaji wa Lugha nane kwa ufasaha; ambazo ni Kiswahili, Kiingereza, Kilatini, Kiitaliano, Kijerumani, Kihispania, Kireno na Kifaransa
Tutafsirie hilo nenopia ailiidhinishwa kwa Nchi za Denmark, Finland, Norway, Iceland, Estonia, Latvia, Ukraine na Lithuania.
Isipokuwa Chama cha wenye madevualitangaza kuachana na siasa kutokana na kutofautiana na chama chake katika kumpokea Edward Lowassa aliyehama kutoka CCM na baadaye kumpitisha kuwa mgombea urais kupitia muungano wa vyama vya siasa wa Ukawa
Kumbe Rais Samia wa hovyo hivi? Kweli bado kuongoza nchi kwa nchi zetu hizi za kishenzi!DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023. Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter.