Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa

Safi sana
Na upinzani tumkatae.
Yaani kotekote akataliwe.
Dr. Slaa alipinga suala la BANDARI si kwasababu ya uzalendo bali kwa kutafuta kiki za kisiasa, aluamini huenda 2025 atapewa nafasi ya kuwania Urais.
Angekuwa mzalendo angepinga ukatili wa Magufuli
 
Yah inaleta zaid ya ugali sababu anapewa huduma zote za ki vip iwe ndani au nje ya tz na ilikuwa ana passport ya diplomat but now mkavu tu hata kuruta anamkwida mkanda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hata kuruta anmkwida mkanda
 
Hakukuwa na haja ya kutangaza hili kwani alipokamatwa maana yake tayari Ubalozi ulikwisha ondoka zake!

~Safi Sana alistahili kuvuliwa hadhi hiyo

HONGERA.
 
alitangaza kuachana na siasa kutokana na kutofautiana na chama chake katika kumpokea Edward Lowassa aliyehama kutoka CCM na baadaye kumpitisha kuwa mgombea urais kupitia muungano wa vyama vya siasa wa Ukawa
Isipokuwa Chama cha wenye madevu
 
DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023. Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter.
Kumbe Rais Samia wa hovyo hivi? Kweli bado kuongoza nchi kwa nchi zetu hizi za kishenzi!
Kwa kosa lipi kafanya mpaka umvue ubalozi?

All in all ubalozi wenyewe ulikuwa wa shukrani baada ya usaliti kwa wapigania haki!
 
Back
Top Bottom