BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
RAIS SAMIA AMWAGA MABILIONI YA FEDHA ZA RUZUKU YA MAENDELEO JIMBONI LUDEWA- NJOMBE.
"Asante sana Mhe. Rais Samia Samia Suluhu Hassan kwa Fedha nyingi za Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo letu la Ludewa. Haijawahi kutokea fedha kuletwa mapema hivyo kabla ya msimu wa mvua kuanza, hii imetoa nafasi kwa wananchi kukamilisha miradi hiyo mapema.
FEDHA ZA RUZUKU YA MIRADI Tshs. 2,666,750,000.00 Jimboni Ludewa.
1. Jengo la utawala Tshs. 900,000,000.00
2. Hospitali Tshs. 900,000,000.00
3. Nyumba ya DED Tshs. 150,000,000.00
4. Ukamilishaji zahanati Tshs. 100,000,000.00
5. Ukamilishaji madarasa msingi Tshs. 118,750,000.00
6. Ujenzi wa madarasa msingi Tshs. 180,000,000.00
7. Ujenzi nyumba za walimu mazingira magumu Tshs. 200,000,000.00
8. Ukamamilishaji wa bwalo sekondari ya mundindi Tshs. 50,000,000.00
9. Ukamilishaji wa bweni Mchuchuma sekondari Tshs. 20,000,000.00
10. Ukamilishaji wa bweni Elimu maalum Tshs. 20,000,000.00
11. Ujenzi wa uzio Elimu maalum Tshs. 30,000,000.00
Mbunge wa Ludewa Mkoani Njombe Mhe. Joseph Kamonga.