britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi?
Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama alivyofanya Nyerere Kwa Mwinyi,
Samia ni Rais wa Kwanza Mwanamke ana changamoto kubwa Kama alivyokuwa Rais wa kwanza Mwanaume NYERERE na changamoto kadhaa!!
Samia tunapokosa pesa ya ndani anasema lazima tukope si Kama Magufuli alikuwa anapika data mpaka anajichanganya ! Samia anasema kwamba makusanyo ni… na Uchumi wetu si wa Kati Kama chuma alivyotuaminisha… shirika la ndege lina hasara si Kama Simba wa iskariote alivyo Sema ,…Kwamba Nidhamu pia ilikuwa ya uoga kazini si ya heshima….
Ame delegate power wasaidizi wake wanawajibika zaidi kuliko one man show…
Mzunguko wa pesa umekuja na nzuri zaidi Nina ndoto mwaka 2027 tutaanza mchakato wa KATIBA mpya atatutachia KATIBA safi.
Mama aendelee hadi 2030 achana na story za chuki mpaka hapo Mwinyi atakapo mrithi, watasema ooo lazima Rais awe mtanganyika , Mbona watanganyika wameongoza mara tatu mfululizo
Ni vi sentence vichache ila….
URAIS SI KUKAKAMAA USONI NARUDIA
Britanicca